Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
hapa kwetu kuna mcongo anasuka hiyo kitu! Ni pm nikuelekeze!
Aje asukie Arusha!!!!??
hapa kwetu kuna mcongo anasuka hiyo kitu! Ni pm nikuelekeze!
Aje asukie Arusha!!!!??
Habarini za Muda Huu Members wote wa JF,
Kama tulivyojadiliana jana kuhusu kufanyika kwa ile White Party ya Dar-Wing, Siku ya Jumamosi ya Tar:26 January Kuanzia Saa 11 jioni hadi majogoo,
Hivyo Basi Mpaka Muda Huu tayari nimeshapokea Michango ya Wadau wafuatao:
1. KakaKiiza
2. Mimi mwenyewe Mzee Mtambuzi
3. gfsonwin
4. Madame B
5. Paloma
6. cacico
7. MJEDA WA LEO TUPO HAPA PUB...
Jamani nawakumbusha kutuma Mchango wako wa Sh Elfu ishirini au ukipenda zaidi (20,0000 au zaidi, Japo mchango halali ni Sh elfu Ishirini) kupitia kwa Namba za Simu nilizozitoa siku ya Jana.
Ambazo ni:
TIGO PESA (0715 729292 ) AU
VODACOM M-PESA (0752 729292).
MWISHO WA KUTUMA MCHANGO WAKO NI TAREHE 21-01-2013
Pia kumbuka kunipigia simu kwa namba hizo mara baada ya kutuma pesa ili umtajie ID yako.
Mara utakapotuma Mchango wako, basi jina lako utalikuta hapa jamvini.
Asante,
Mtambuzi.
Copy to: @Mwita Maranya, amu, Zion Daughter, Smile, Fidel80, Ruttashobolwa, watu8, Bishanga, King'asti, Remmy, figganigga, snowhite, Bujibuji, Nicas Mtei, mwaJ, nivea, Lisa, Mamndenyi, Asprin, lara 1 na wengineo walioko tayari kuhudhuria mnakaribishwa............
ajira zinasumbua siku hizi dah kweri mtaji wa maskini nguvu zake mwenyewe :smile:
ajira zinasumbua siku hizi dah kweri mtaji wa maskini nguvu zake mwenyewe :smile:
Hakuna tabu Paloma! Njoo nao utakuta nimewaandalia menu yao kisha tunaendelea!
Tutawatangazia hv karibuni ndo tunaweka mambo sawa.Shughuli yenyewe wapi?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
ajira zinasumbua siku hizi dah kweri mtaji wa maskini nguvu zake mwenyewe :smile:
ntaenda na ubwa kama saba hivi jeman shefads...................