kina baba kina mama kumbukeni siku hiyo ni chu.pi nyeupe,soxy nyeupe,tanganyika jeki nyeupe,henkachif nyeupe,gauni nyeupe,serewale nyeupe,shati jeupe,hii ni kwa msisitizo tu.
halafu unigande kwa kielfu ishirini chako...
Akuuuu SIDANGANYIKI
Mie mwenyewe nasubiria waseme su!! Elfu 21 natuma faster!!
Me mchango wangu ntaja nao lolest!!!!!!!!!
hahahahah wifi wapenda mitoko safari ya TA imekupagawisha .... Madame B sema SU marejesho anasubiri hatoki hapa kama anausibiri ile hadithi ya mjeda CHAI CHUNGU
Ukienda bila ruxa talaka na uhamie huko huko kwa kina Bishanga na Nyani Ngabu
eeeeehhhhh mtalaka hatalikiwe
Ndio nimetia timu hapa nasubiria SU!!! Namshangaa wifi Madame B kauchuna.....