Habarini za Muda Huu Members wote wa JF,
Kama tulivyojadiliana jana kuhusu kufanyika kwa ile White Party ya Dar-Wing, Siku ya Jumamosi ya Tar:26 January Kuanzia Saa 11 jioni hadi majogoo,
Hivyo Basi Mpaka Muda Huu tayari nimeshapokea Michango ya Wadau wafuatao:
1.
KakaKiiza
2. Mimi mwenyewe Mzee
Mtambuzi
3.
gfsonwin
4.
Madame B
5.
Paloma
6.
cacico
7.
MJEDA WA LEO TUPO HAPA PUB...
8.
Asprin
9.
Ruttashobolwa
Jamani nawakumbusha kutuma Mchango wako wa Sh Elfu ishirini au ukipenda zaidi (20,0000 au zaidi, Japo mchango halali ni Sh elfu Ishirini) kupitia kwa Namba za Simu nilizozitoa siku ya Jana.
Ambazo ni:
TIGO PESA (0715 729292 ) AU
VODACOM M-PESA (0752 729292).
MWISHO WA KUTUMA MCHANGO WAKO NI TAREHE 21-01-2013
Pia kumbuka kunipigia simu kwa namba hizo mara baada ya kutuma pesa ili umtajie ID yako.
Mara utakapotuma Mchango wako, basi jina lako utalikuta hapa jamvini.
Asante,
Mtambuzi.
Copy to: Mwita Maranya,
amu,
Zion Daughter,
Smile,
Fidel80,
Ruttashobolwa,
watu8,
Bishanga,
King'asti,
Remmy,
figganigga,
snowhite,
Bujibuji,
Nicas Mtei,
mwaJ,
nivea,
Lisa,
Mamndenyi,
Asprin,
lara 1 na wengineo walioko tayari kuhudhuria mnakaribishwa............