JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

blaki womani marejesho karibuni sana sana sana! so far tutapata muda wa kuingia kwenye executive lounge na hapa naomba Asprin na Bishanga mmoja wenu ajipime ubavu na mm mwl kwa kikuku na cheni ...................lol!

Tunashukuru sana gfsonwin kwa kukaribishwa... Nafsi zetu sasa zimetulia....
Blaki Womani sasa tufanye maandalizi ya haya makitu meupe....
 
Last edited by a moderator:

hayo ndo mlokuwa mmesahau lol!
mwenzenu Madame B jana kashinda akitafuta makitu meupe hadi kayapata lol! mie leo nakalia cherehan hadi nitokelezee lol! natangaza kwa anayetaka kushon anione nitamshonea hata criplin white lol!
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi usiwabanie watu bana Skiiter alisema double ni 125000/= ..............lol!

nasubiria watu waendelee kuconfirm na mpaka sasa walio confirm kwangu ni Mentor, akenajo. hawa nimewapa namba yako ili wakuwasilishe. pia naomba sana swala la champagne at least 3. halafu kuna jambo tume ova look hivi hatutawakaribisha akina maxence mello na invisible??
 
Last edited by a moderator:
najuta kwanini niko mbali huku.ningekuwa home hakika ningeshiriki kikamilifu.ninashauku ya kuonana/kufahamiana na Jf members live bila chenga.kama Easter mtaandaa kitu kama hiki sina shaka tutakuwa pamoja.
 
i_miss_you_candle_with_roses.gif

Miss u so much mama wangu gfsonwin
Mtambuzi usiwabanie watu bana Skiiter alisema double ni 125000/= ..............lol!

nasubiria watu waendelee kuconfirm na mpaka sasa walio confirm kwangu ni Mentor, akenajo. hawa nimewapa namba yako ili wakuwasilishe. pia naomba sana swala la champagne at least 3. halafu kuna jambo tume ova look hivi hatutawakaribisha akina maxence mello na invisible??
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi usiwabanie watu bana Skiiter alisema double ni 125000/= ..............lol!

nasubiria watu waendelee kuconfirm na mpaka sasa walio confirm kwangu ni Mentor, akenajo. hawa nimewapa namba yako ili wakuwasilishe. pia naomba sana swala la champagne at least 3. halafu kuna jambo tume ova look hivi hatutawakaribisha akina maxence mello na invisible??

Kule kwenye uzi wa tangazo la White Party kuna mdau mlimpa mkazi ya kutafuta mgeni wa heshima, nadhani yeye anahusika zaidi kutuma mialiko kwa hao wadau. lakini msimsahau Mark Mckee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom