JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

natafuta vijana wawili wa kuwatolea...........sifa kuu wawe mabaunsa ili nikitepeta wanibebage maana na hizi kilo nahitaji sana msaada! Nimeagiza Dompo 3 katoni nzima from kiwandani -zinatumwa kwenye Shabiby ile Nakshi Nakshi!!!

hahahah naomba mi niwe mmoja wao au?? mi nakuletea amarula uchanyange tuone matokeo yatakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…