JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

Najua ila kuna mahali na wewe umeleta unoko watu8 yan unapuliza then unang'ata hasa suala la Kipipi

Nakomalia maana unamtesa patna wangu...na kuna hati hati show yetu ya nguvu siku ya WHITE PARTY ikaota mbawa haswa baada ya ujio wa "Aminata"
 
Last edited by a moderator:
Nakomalia maana unamtesa patna wangu...na kuna hati hati show yetu ya nguvu siku ya WHITE PARTY ikaota mbawa haswa baada ya ujio wa "Aminata"
Hehehheee huyo siku hiyo atakuwa Arusha ndio weekend ambayo nampeleka Ngorongoro kutembea!
Dah nilimmiss sana wacha nimpe raha kwanza
 
Hehehheee huyo siku hiyo atakuwa Arusha ndio weekend ambayo nampeleka Ngorongoro kutembea!
Dah nilimmiss sana wacha nimpe raha kwanza

Hahaha ila mwambie Kiperemende ukweli basi...maana tayari tushawekwa kwenye ratiba ya show, tukiitosa itakua hatueleweki
 
KEBBY-LOGO.png

kebbys_hotel_dar_es_salaam-1354638150-726-d_pic.jpg


PARTY TUTAIFANYIA KATIKA UKUMBII HUU, NI FULL AC, SELF SERVICE.
IMG_2552.JPG
 
Worry not marejesho!
Nimeshaiona hiyo na haina shida kabisa.
Mwenye mume ndo huyo mi mliniweka tokana na fikra za watu (ofcoz na uropokaji wa Erickb52 mwenyewe)

Hope wale majungu dot. com sasa waniache nipumue!

Afadhali umekuja patna....moyo wangu umetulia sasa baada ya huo ujumbe.
Yihaaaa, the SHOW is STILL ON!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Worry not marejesho!
Nimeshaiona hiyo na haina shida kabisa.
Mwenye mume ndo huyo mi mliniweka tokana na fikra za watu (ofcoz na uropokaji wa Erickb52 mwenyewe)

Hope wale majungu dot. com sasa waniache nipumue!

Nimefurahi kwa kuwa hujapata msongo wa mawazo.... Erickb52 alituaminisha kwamba sasa mambo flani safi kati yake na wewe, kumbe sivyo....
Hakika majungu dot.com wamekusoma mwaya....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom