JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

Kwa Amyner niko peke yangu KakaKiiza kwanza hakuna mwanaume anayeweza kutia miguu kwa bibie kwanza wewe uliyemshindwa mdogo wangu nivea ndio hata usinisumbue!

hahahahahahahah unamajungu wewe umenichekesha sana kumbe ulikuwa unamlia tyming tu ajikanyage?aingie kwenye anga zako umpe kubwa hahahaah lakini KakaKiiza amenilipia hela elfu 20,000/=za white party nikubali au nikataeee
 
Last edited by a moderator:
Kwa Amyner niko peke yangu KakaKiiza kwanza hakuna mwanaume anayeweza kutia miguu kwa bibie kwanza wewe uliyemshindwa mdogo wangu nivea ndio hata usinisumbue!
Jipe moyo pole yako kwa plasta ya moyo wangu nivea??inawezekana kweli?nishindwe au unataka kujua mipango yetu ya ndoa imekaaje?wambea mnahangaika! Amyner natoa angalizo kwako huyo mtu anamjia TANMO, mtu chake nazaidi Preta shahidi huyu Erickb52 nikama usb device!!kuwa macho.
 
...hahahahaha..mkuu mimi nishajitoa katika MBIO ZA VIJITI
 
Back
Top Bottom