Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Dah ila kwa hapa watu8 umemaliza kazi yan nilimmiss sana hadi niliumwa! Amyner hebu check hiyo link hapo mumy!Shem wa zamani (kuna shem mpya ujue),
hebu subiri kwa hiyo alikua anatudanganya au wewe ndio unatudanganya!!!....maana kulipitishwa rokoo hapa ya kukusaka na iliongozwa na Erickb52 mwenyewe kwa msaada wa rada za watu8...
Msako wa Amyner....
Ni mimi tu kukuletea habari ni mimi tu!!!
Last edited by a moderator: