JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!




[[url]http://www.lifestylemiami.com/wp-content/uploads/2012/11/White-Party-at-Seaquarium-015.jpg/img][/url]
[img]http://1.bp.blogspot.com/_stxylFr6jLM/TF7M9ozuEYI/AAAAAAAAsh0/o-bRwIgrYXM/s1600/39495_422091464543_745394543_4634219_1656357_n.jpg
 
Hahahahahahaha
we mwanamke karibu azam cola!

 
ha ha mi subiri niombe ruksa kwa Asprin. mia
Afu nani awe mjinga aitoe hiyo ruhusa?

usihofu coz hata Asprin asipo kuruhusu hamna noumer coz akijifanya kukumwaga nakuchukua mzima mzima na moja kwa moja. mia
Samahani mkuu. Uwekezaji niliouweka kwa huyu mrembo niko tayari kukukabizi shangazi yangu umuoe bila mahari.:becky::becky::becky:
 
jamani madada nahitaji kampani tarehe 26. aliye tayari tuwasiliane!.
NOTE:
cc kwa marejesho na amu tu. mia
figganigga hapa Filipo ataua mtu ... Yaani copy kwa mke wake na mpango wa kando....????

Tunaweza wote wawili tukakupa kampani kwa pamoja labda tu kama mwenzangu amu atakuwa na arrangement zingine....
 
Last edited by a moderator:

Wallah si ya kukosa hii.... bidada nakujaaaa!!!!!!!!!!
 
figganigga hapa Filipo ataua mtu ... Yaani copy kwa mke wake na mpango wa kando....????

Tunaweza wote wawili tukakupa kampani kwa pamoja labda tu kama mwenzangu amu atakuwa na arrangement zingine....

lakini kila mtu kwa wakati wake. huyo sijui ndo Filipo hanitishi, kama vipi ntakuchukua kwa lazima kama vipi ajinyonge kwa kamasi. kama vipi akubali kuwa mume mwenza. ubabe ubabe. mia
 
Last edited by a moderator:
Samahani mkuu. Uwekezaji niliouweka kwa huyu mrembo niko tayari kukukabizi shangazi yangu umuoe bila mahari.:becky::becky::becky:

kuwekeza kitu gani? unaweza ukawekeza na bado usione ndani. wewe anakuchuna mimi namega kisera. nakuomba ujiandae kiakili zaidi ili tarehe 26 usijepata presha utakapo nione nmemkumbatia amu zero distance. chezeya figganigga weye!?. mia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…