NTIBA
Member
- Jan 14, 2013
- 79
- 49
jamani namie nataka kuja. Tena nataka kuja na CHAI CHUNGU mon chou usikatae hii ni mahsusi wa ajili ya wana JF CC. Ni-pm contacts zako ili tuarrange mambo. ila kwa sasa nipo Brussels nikirudi next week nitakutafuta. im sure hujapata nguo nyeupe nitakuletea mon cher!