JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

Habarini za Muda Huu Members wote wa JF,
Kama tulivyojadiliana jana kuhusu kufanyika kwa ile White Party ya Dar-Wing, Siku ya Jumamosi ya Tar:26 January Kuanzia Saa 11 jioni hadi majogoo,

Hivyo Basi Mpaka Muda Huu tayari nimeshapokea Michango ya Wadau wafuatao:
1. KakaKiiza
2. Mimi mwenyewe Mzee Mtambuzi
3. gfsonwin
4. Madame B
5. Paloma
6. cacico
7. MJEDA WA LEO TUPO HAPA PUB...
8. Asprin
9. Ruttashobolwa
10. amu
11. marejesho
12. Vin Diesel
13. figganigga
14. Jiwe Linaloishi
15. Amavubi
16. manoah
17. Jeska

Jamani nawakumbusha kutuma Mchango wako wa Sh Elfu ishirini au ukipenda zaidi (20,0000 au zaidi, Japo mchango halali ni Sh elfu Ishirini) kupitia kwa Namba za Simu nilizozitoa siku ya Jana.
Ambazo ni:
TIGO PESA (0715 729292 ) AU
VODACOM M-PESA (0752 729292).
MWISHO WA KUTUMA MCHANGO WAKO NI TAREHE 21-01-2013

Pia kumbuka kunipigia simu kwa namba hizo mara baada ya kutuma pesa ili umtajie ID yako.

Mara utakapotuma Mchango wako, basi jina lako utalikuta hapa jamvini.

UP DATE:

Jana tarehe 5/1/2013 kamati ya kutafuta ukumbi ikiongozwa na gfsonwin, Madame B na mimi mwenyewe Mzee Mtambuzi imefanikiwa kupata ukumbi katika Hoteli ya KEBBY'S iliyoko Mwenye mkabala na ukumbi wa Sinema wa Mwenge. Tumepata sehemu ya GARDEN ambayo iko barabarani kabisa na siku hiyo kutakuwa na LIVE BAND na bendi hiyo inaitwa MOMELA.

Tumeshachagua MENU na meneja wa hoteli hiyo Bi. Skiiter ameahidi kutufanyia mambo makubwa, kwa wale watakaotaka ule mpango wa STAY AWAY FROM HOME baada ya kupata kilaji watapewea special rate ya Tsh. 100,000 kwa usiku mmoja single. Double hairuhusiwi....LOL.

Tunatakiwa kulipa advance ya kiasi cha shilingi 300,000/= wiki ijayo ili ku-secure ukumbi maana demanding iko juu sana. ninawaomba wadu waharakishe kutuma michango yao ili tuweze kulipia ukumb huo.

Nawasilisha.
Y

Asante,

Mtambuzi.

Copy to:
Mwita Maranya, amu, Zion Daughter, Smile, Fidel80, Ruttashobolwa, watu8, Bishanga, King'asti, Remmy, figganigga, snowhite, Bujibuji, Nicas Mtei, mwaJ, nivea, Lisa, Mamndenyi, Asprin, lara 1 na wengineo walioko tayari kuhudhuria mnakaribishwa............
Ndugu katika Bwana ahsante kwa initiative hii, nitatuma mchango wangu kesho. Pia ningependa kufahamu apart from kukutana, kula, kunywa na ku dance, kutakuwa na mada zozote za ki great thinkers?
Merci
 
Last edited by a moderator:
Yaaah mulama tutajadili pia unaweza kuandaa mada tukajadili huku tukisherekea!
Karibu sana mkuu Mulama!

Ndugu katika Bwana ahsante kwa initiative hii, nitatuma mchango wangu kesho. Pia ningependa kufahamu apart from kukutana, kula, kunywa na ku dance, kutakuwa na mada zozote za ki great thinkers?
Merci
 
Last edited by a moderator:
umenikumbusha kitu!!!
unajua Mtambuzi ndio anaepokea mapene ya kufanikisha white parreeee

cc: KakaKiiza, Asprin
Mhm hivi wanasubiri kuona majina kwenye bango? Mwita Maranya njoo uone vitu kutoka ng'ambo vimekuja kwa ajili ya white party Paloma na kesi na wewe kwani hata sikusomi kwenye kompasi yangu sijui uko longityudo au latityudo??....ntakupata ngoja nitumie za ki russia maana za kichana mbwembwe nyingi!!

CC: Ruttashobolwa
Madame B,
gfsonwin,
Mtambuzi,
amu,
Zion Daughter,
watu8,
Jiwe Linaloishi,
Asprin,
 
Last edited by a moderator:
KakaKiiza mie mbona nipo vere close to you .....afu huwezi amini nakuonaga kila mara, basi tu hunionagi!!!

anyway see you on the d-day broda!!!


Mhm hivi wanasubiri kuona majina kwenye bango? Mwita Maranya njoo uone vitu kutoka ng'ambo vimekuja kwa ajili ya white party Paloma na kesi na wewe kwani hata sikusomi kwenye kompasi yangu sijui uko longityudo au latityudo??....ntakupata ngoja nitumie za ki russia maana za kichana mbwembwe nyingi!!

CC: Ruttashobolwa
Madame B,
gfsonwin,
Mtambuzi,
amu,
Zion Daughter,
watu8,
Jiwe Linaloishi,
Asprin,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom