Mhmmmm mbona sikusikii au kukuona na kama unaniona iweje unichunie??sinitabia isiyohitajika katika jamii??KakaKiiza mie mbona nipo vere close to you .....afu huwezi amini nakuonaga kila mara, basi tu hunionagi!!!
anyway see you on the d-day broda!!!
Mhm hivi wanasubiri kuona majina kwenye bango? Mwita Maranya njoo uone vitu kutoka ng'ambo vimekuja kwa ajili ya white party Paloma na kesi na wewe kwani hata sikusomi kwenye kompasi yangu sijui uko longityudo au latityudo??....ntakupata ngoja nitumie za ki russia maana za kichana mbwembwe nyingi!!
CC: Ruttashobolwa Madame B, gfsonwin, Mtambuzi, amu, Zion Daughter, watu8, Jiwe Linaloishi, Asprin,
kutokana na itifaki kuzingatiwa mimi nahusika na sehemu ya wale waliotoka mbali watakaohitaji kujirestisha wananiona mimi hata wale waliozaliwa dar wanaotoka dar wanakwenda dar!! nahao niwageni wangu je mkulu ni kaunt yu ini?Mkuu KakaKiiza count me in, nimeambiwa kuna warembo wapya kabisa kutoka majuu watafunguliwa siku hiyo kwa mara ya kwanza. Bila shaka itakuwa ni first in first save!
Ili umwone yuleeeee uliyemtungia li uzi???karibu sana!Never miss this fabulous Party...
.
...
....
KakaKiiza nyegera ndo wapi? samahani laknNyegera 100%
Ili umwone yuleeeee uliyemtungia li uzi???karibu sana!
Mra Mwitta kama mambo yenyewe ni ya kutafuta warembo wapya si tutabigana punduki mra?!Mkuu KakaKiiza count me in, nimeambiwa kuna warembo wapya kabisa kutoka majuu watafunguliwa siku hiyo kwa mara ya kwanza. Bila shaka itakuwa ni first in first save!
Nilitaka kuandika naigeria:becky:!!rekebisha msaada pls
kutokana na itifaki kuzingatiwa mimi nahusika na sehemu ya wale waliotoka mbali watakaohitaji kujirestisha wananiona mimi hata wale waliozaliwa dar wanaotoka dar wanakwenda dar!! nahao niwageni wangu je mkulu ni kaunt yu ini?
CC: Madame B'
Mtambuzi
gfsonwin
snowhite
Nyani Ngabu
Smile
Erickb52
Arusha one
Mra Mwitta kama mambo yenyewe ni ya kutafuta warembo wapya si tutabigana punduki mra?!
Sawa nimekupata boti, mimi nitakuwepo kuangalia bita inabiganwa!Mwanamke wa kugombania ni mtamu sana we acha tu. Mimi mwanamke akinikubali kirahisi rahisi nampotezea.
Sawa nimekupata boti, mimi nitakuwepo kuangalia bita inabiganwa!
Mimi niko na mama yoyoo sibikanii wengine tena teh!Na uje ukiwa umejiandaa, siku hiyo nakuja kamili gado.