JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

Jeska ni nani? Mtambuzi njoo uniambie huyo Jeska ni nani? Au ndo kutotaka kujulikana?
Acha tu nitoe mashambulizi watu mnaboa mtu tunakuzoea mtambuzi siku unakuja kujitambulisha hamisi kha haihusuuu
Jeska si yule aliyekuhudumia kahawa siku ile, mbona unakuwa mshakunaku we amu?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nicas Mtei sikuoni huku! Alaf ahadi yangu sijui kama bado unaikumbuka kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom