JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

Jamani nawakumbusha kutuma Mchango wako wa Sh Elfu ishirini au ukipenda zaidi (20,0000 au zaidi, Japo mchango halali ni Sh elfu Ishirini) kupitia kwa Namba za Simu nilizozitoa siku ya Jana.
........

Mtambuzi kwa jinsi ninavyowa "MIND" nitachangia sh. 10, 000 kwa kuwa sitaudhuria nitakuwa na dharura.
 
hapa ni kuomba tu kiingilio kwa lugha ya nyumbani,
haya enyi akina mangi mkuu mko wapi?
 
Back
Top Bottom