JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

Mtambuzi more advertisements are needed, kwa kweli bado una list ndogo sana,
ongea na mods waweke hili tangazo kwenye majukwaa mengine pia.
 
Last edited by a moderator:
aaaah wapi, wengi ni watu wazima, tunaona hiyo party kama imekaa kitoto hivi!!!
uoga na kutojiamini haijaanzia kwenye party hii tu. Hata kwenye ishu nyngne bdo watu ni waoga.. Hata msiban ni ishu kuhudhuria..
 
Ukizingatia sura zenu zinatisha saana watoto ...LOL...
hahahahaha....huko mi simo!! Natamani sana hiyo tar 26 nijaribu tu kuchungulia
we sema wengi ni ccm na labda mnaona party imekaa ki cdm hivi!!! Hah hah hah hah hah!!!
Hivi humu chit chat wengi ni CDM eeh!!
Rejao mtu mzima mwenzio nimelipa twende bana.
Mi nitalipia mlangoni....nataka nijue kwanza ni watu wa aina gani watakuwepo!!
When the going get tough....hahahah
Kiongozi vipi tena??? Cantalisia naye atakuwepo bhanaaa!!!
Cantalisia nimemfungia kabsaaa.....sitaki kabisa aharibiwe na watu humu!
uoga na kutojiamini haijaanzia kwenye party hii tu. Hata kwenye ishu nyngne bdo watu ni waoga.. Hata msiban ni ishu kuhudhuria..
Hapo sasa ndio ujue kuna something wrong na JF members!! Wanaona raha tu kumention each other kwenye posts mbali mbali, but likija suala nyeti wote wanakimbia. So tukiitana humu ndani wanafiki naona tutakuwa tumejitendea haki
 
Last edited by a moderator:
Rejao lipia tu tutachungulia kwa mbali huku tukila bata zetu.
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa ndio ujue kuna something wrong na JF members!! Wanaona raha tu kumention each other kwenye posts mbali mbali, but likija suala nyeti wote wanakimbia. So tukiitana humu ndani wanafiki naona tutakuwa tumejitendea haki[/QUOTE]

Ni kweli kabisa Rejao. Watu weng humu ni wanafki sana. Kwenye thread huwa wanakuwa na maneno lukuki. Iktokea kujumuika pa1 hata huwaoni.. Tatizo la member wengi wa Dar ndo hlo.. Arusha wapo level nyingine juu zaidi. Nawapongeza sana member wa Arachuga.
Copy😡Filipo Mungi, Mr Rocky, Erickb52, Arushaone PakaJimmy Preta, marejesho, Crashwise, Kabakabana, na wengine wengi.
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa ndio ujue kuna something wrong na JF members!! Wanaona raha tu kumention each other kwenye posts mbali mbali, but likija suala nyeti wote wanakimbia. So tukiitana humu ndani wanafiki naona tutakuwa tumejitendea haki

Ni kweli kabisa Rejao. Watu weng humu ni wanafki sana. Kwenye thread huwa wanakuwa na maneno lukuki. Iktokea kujumuika pa1 hata huwaoni.. Tatizo la member wengi wa Dar ndo hlo.. Arusha wapo level nyingine juu zaidi. Nawapongeza sana member wa Arachuga.
Copy😡Filipo Mungi, Mr Rocky, Erickb52, Arushaone PakaJimmy Preta, marejesho, Crashwise, Kabakabana, na wengine wengi.[/QUOTE]

Mkuu sisi tupo mbali sana! Tuna a/c na tukiamua kukutana hata kesho tunakutana tu! Mwenzetu akiwa na tatizo tunalichukulia kama lako! Swala la kula bata ndio mpango mzima! Waliowahi kututembelea ni mashahidi.
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei waambie watu wa dar ni lini tutakuwa na umoja,
huku kila mtu ni kivyake tu hata kujumuika hawapendi.

Back
Top Bottom