kwani we ndo mkaguzi siku hizi?!?!?:whistle:
Shikamoo mchumba..I miss you so muchHahahaha! Kijana unanifurahisha unavyoitumikia hii nafasi pale napokuwa sipo.Well done!!
Nilipotea kidogo .... Is this serious ?
Shikamoo mchumba..I miss you so much
Mind your steps, i'm watching you!!
Halafu sijaona jina lako kwa waliochangia unasubiri nini?
Mambo vp Mkuu!? Nimemwambia wife aje kuwakilisha kwahiyo naomba uhakikishe hakai karibu na wakora!
Mkuu kamati ilijitahidi kutafuta eneo ambalo litakuwa convinient kwa kila mtu.
Swadakta.
Wewe una maslahi na huo ukumbi wa Kebby's si bure!!lol
nitakuletea. saizi gani unavaa?