JF Dictionary

Page 94

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
5,204
Reaction score
15,207
Huu ni Uzi Maalum kwa wageni na wote ambao baadhi ya maneno yanawapiga chenga, Uzi huu utatoa maana na mwanga juu ya Maneno yatumikayo humu JF.

Hii ni ili kupunguza adha ya kutoelewa nini kinazungumziwa maneno au neno Fulani linapotajwa. Hizi ni 'Codes' Maalum sana JF, ukishazijua itakufanya uifurahie JF zaidi.

Maneno hayo yapo mengi humu, lakini Mimi nitataja baadhi na wenzangu watasaidia katika maneno mengine. Nitaandika neno na maana take katika lugha halisi ambayo inaweza isiwe ngumu kwako.

PM - Private Message

Papuchi - Uke/Sehemu ya Siri ya Mwanamke

Sizonje - JPM

Kibamia - Uume mdogo

Mkuyenge - Uume Mkubwa

Kufukua Makaburi - Kufatilia nyuzi/Uzi wa kipindi kilichopita

Assist - Kutapeli

Mengine wataongezea WanaJukwaa wengine.

Huu utakuwa muongozo kwa wote watakaokuwa hawajui wengine wanamaanisha nini.
 
Bwana Yule,Pogba,Juma Ponda Mali,baba Jesca =Magufuli


Popoma=mtu asiyejielewa

Wazee wa buku saba=wafuasi wa chama cha mapinduzi.

Kiboksi manyoya=sehemu ya siri ya mwanamke

Abdallah Kichwa wazi=Uume

Mwanaume wa Dar=Mtanashati,mtu mjanja mjanja,mtu anayekwenda na wakati,mtu mwenye upeo mkubwa kuhusu madili yote hapa town,mtu ambaye ana works Smarter not Harder


Mwanaume wa mkoani=mtu ambaye yupoyupo tu,hajipendi,mchafu,ana mambo ya ajabu ajabu,anatumia nguvu nyingi kuliko akili
 
Compact ngoja naenda kuoga nitarudi na maswali ya vijineno vya humu jf.

Kabla sijajipaka sabuni ngoja niulize nini maana ya "kupimwa mkojo"??
Hahahaha!. Hill sijui, nenda Tweeter kamuulize Kigwangala. The Quack doctor.
 
Hahahaha!. Hill sijui, nenda Tweeter kamuulize Kigwangala. The Quack doctor.
Hahahaha huyo aliyetaka kumpeleka James delicious gerezani utata ukaja amweke kwa ME au KE!!hahahaha haya baba.
 
Nahitaj kujua namna ya kuapload photo/picture katika uz wangu ili pic hiyo ionekane front b4 kichwa cha habar, bimejari bt imenipa tabu

et al
 


Maana batili hiyo.
 
Kuingia humu JF Unatumia application au browser?
Nahitaj kujua namna ya kuapload photo/picture katika uz wangu ili pic hiyo ionekane front b4 kichwa cha habar, bimejari bt imenipa tabu

et al
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…