JF Dictionary

JF Dictionary

Bwana Yule,Pogba,Juma Ponda Mali,baba Jesca =Magufuli

Popoma=mtu asiyejielewa

Wazee wa buku saba=wafuasi wa chama cha mapinduzi.

Kiboksi manyoya=sehemu ya siri ya mwanamke

Abdallah Kichwa wazi=Uume

Mwanaume wa Dar=Mtanashati,mtu mjanja mjanja,mtu anayekwenda na wakati,mtu mwenye upeo mkubwa kuhusu madili yote hapa town,mtu ambaye ana works Smarter not Harder

Mwanaume wa mkoani=mtu ambaye yupoyupo tu,hajipendi,mchafu,ana mambo ya ajabu ajabu,anatumia nguvu nyingi kuliko akili
Ahh hapa kwenye mwanaume wa dar palekebishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Assist -> Nikopeshe, nisaidie au niazime..
 
Bwana Yule,Pogba,Juma Ponda Mali,baba Jesca =Magufuli

Popoma=mtu asiyejielewa

Wazee wa buku saba=wafuasi wa chama cha mapinduzi.

Kiboksi manyoya=sehemu ya siri ya mwanamke

Abdallah Kichwa wazi=Uume

Mwanaume wa Dar=Mtanashati,mtu mjanja mjanja,mtu anayekwenda na wakati,mtu mwenye upeo mkubwa kuhusu madili yote hapa town,mtu ambaye ana works Smarter not Harder

Mwanaume wa mkoani=mtu ambaye yupoyupo tu,hajipendi,mchafu,ana mambo ya ajabu ajabu,anatumia nguvu nyingi kuliko akili
Mwanaume wa dar= mtu ambaye tofauti yake na mwanamke ni jinsia ila tabia na matendo yao hawana tofauti.
Huu ni Uzi Maalum kwa wageni na wote ambao baadhi ya maneno yanawapiga chenga, Uzi huu utatoa maana na mwanga juu ya Maneno yatumikayo humu JF.

Hii ni ili kupunguza adha ya kutoelewa nini kinazungumziwa maneno au neno Fulani linapotajwa. Hizi ni 'Codes' Maalum sana JF, ukishazijua itakufanya uifurahie JF zaidi.

Maneno hayo yapo mengi humu, lakini Mimi nitataja baadhi na wenzangu watasaidia katika maneno mengine. Nitaandika neno na maana take katika lugha halisi ambayo inaweza isiwe ngumu kwako.

PM - Private Message

Papuchi - Uke/Sehemu ya Siri ya Mwanamke

Sizonje - JPM

Kibamia - Uume mdogo

Mkuyenge - Uume Mkubwa

Kufukua Makaburi - Kufatilia nyuzi/Uzi wa kipindi kilichopita

Assist - Kutapeli

Mengine wataongezea WanaJukwaa wengine.

Huu utakuwa muongozo kwa wote watakaokuwa hawajui wengine wanamaanisha nini.

Sent from my Huawei mate 9
 
Kufukua kaburi -> wivu, chuki na unafiki...
 
Sizonje -> kiumbe kinachopenda kuabudiwa na kupewa sifa kisichostahili..
 
Sijawahi tumia JF application so sijui ilivyo. Jaribu hivi kama nayo inafanana na hii njia ninayokuelekeza
Application, jf app

et al
nenda hapo unapotaka kutype comments utakuta hicho kipini nimewekea alama ya njano hapo jirani na neno SEND,click hapo
IMG_20170803_225320.jpg

Kisha itatokea hii,bonyeza neno image itakupeleka kwenye gallery yako chagua picha uitakayo
Screenshot_20170803-224928.png

Kisha bonyeza done,ikishakuja kama hivi
IMG_20170803_225358.jpg

Ili ijae na kuonekana kwa wepesi bonyeza neno FULL IMAGE. Kisha send picha yako
 
Bwana Yule,Pogba,Juma Ponda Mali,baba Jesca =Magufuli

Popoma=mtu asiyejielewa

Wazee wa buku saba=wafuasi wa chama cha mapinduzi.

Kiboksi manyoya=sehemu ya siri ya mwanamke

Abdallah Kichwa wazi=Uume

Mwanaume wa Dar=Mtanashati,mtu mjanja mjanja,mtu anayekwenda na wakati,mtu mwenye upeo mkubwa kuhusu madili yote hapa town,mtu ambaye ana works Smarter not Harder

Mwanaume wa mkoani=mtu ambaye yupoyupo tu,hajipendi,mchafu,ana mambo ya ajabu ajabu,anatumia nguvu nyingi kuliko akili
ahaha mkuu hapo kwenye wanaume wa Dar umeegemea upande
 
Mwanaume wa dar= mtu ambaye tofauti yake na mwanamke ni jinsia ila tabia na matendo yao hawana tofauti

Sent from my Huawei mate 9
 
Mwanaume wa dar= mtu ambaye tofauti yake na mwanamke ni jinsia ila tabia na matendo yao hawana tofauti

Sent from my Huawei mate 9
Mmmh kumbe basi Kuna mtu namjua anafanana na huu msamiati[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmmh kumbe basi Kuna mtu namjua anafanana na huu msamiati[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niambie basi usifanye siri mimi pia nataka nimjue[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Huawei mate 9
 
Back
Top Bottom