JF Dictionary

JF Dictionary

Dushelele
Mtanange
Kwichikwichi
Misukule
Buku7 fc


Sent using Jamii Forums mobile app
Dushelele ni Sehemu ya uzazi was mwanaume.

Kwichikwichi ni kufanya shoo ya kikubwa

Misukule ni wote wanaoyumbishwa, kufata kila kitu bila ya kutafakari. Yaani wao ni sukuma twende.

Buku7 FC ni vijana was CCM mitandaoni hasa JF. Hulipwa buku kila siku kwa ajili ya kununulia bundle. Hivyo kwa wiki ni Buku Saba. Ndipo wakapachikwa Buku7 FC.
 
Huu ni Uzi Maalum kwa wageni na wote ambao baadhi ya maneno yanawapiga chenga, Uzi huu utatoa maana na mwanga juu ya Maneno yatumikayo humu JF.

Hii ni ili kupunguza adha ya kutoelewa nini kinazungumziwa maneno au neno Fulani linapotajwa. Hizi ni 'Codes' Maalum sana JF, ukishazijua itakufanya uifurahie JF zaidi.

Maneno hayo yapo mengi humu, lakini Mimi nitataja baadhi na wenzangu watasaidia katika maneno mengine. Nitaandika neno na maana take katika lugha halisi ambayo inaweza isiwe ngumu kwako.

PM - Private Message

Papuchi - Uke/Sehemu ya Siri ya Mwanamke

Sizonje - JPM

Kibamia - Uume mdogo

Mkuyenge - Uume Mkubwa

Kufukua Makaburi - Kufatilia nyuzi/Uzi wa kipindi kilichopita

Assist - Kutapeli

Mengine wataongezea WanaJukwaa wengine.

Huu utakuwa muongozo kwa wote watakaokuwa hawajui wengine wanamaanisha nini.
Pambana na hali yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lumumba

Ufipa

cc

Jukwaa la wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app from my Andoid phone
 
Sijawahi tumia JF application so sijui ilivyo. Jaribu hivi kama nayo inafanana na hii njia ninayokuelekeza

nenda hapo unapotaka kutype comments utakuta hicho kipini nimewekea alama ya njano hapo jirani na neno SEND,click hapo
View attachment 557440

Kisha itatokea hii,bonyeza neno image itakupeleka kwenye gallery yako chagua picha uitakayo
View attachment 557441
Kisha bonyeza done,ikishakuja kama hiviView attachment 557445
Ili ijae na kuonekana kwa wepesi bonyeza neno FULL IMAGE. Kisha send picha yako
Nifundishe na mimi mwalimu
images
 
he he hee hiyo maana ya' wanaume wa dar' ina maana mbili,,?ipi sahihi sasa
 
Kumbe sizonje ndio JPM?????hahahahhahahhh
 
Bwana Yule,Pogba,Juma Ponda Mali,baba Jesca =Magufuli


Popoma=mtu asiyejielewa

Wazee wa buku saba=wafuasi wa chama cha mapinduzi.

Kiboksi manyoya=sehemu ya siri ya mwanamke

Abdallah Kichwa wazi=Uume

Mwanaume wa Dar=Mtanashati,mtu mjanja mjanja,mtu anayekwenda na wakati,mtu mwenye upeo mkubwa kuhusu madili yote hapa town,mtu ambaye ana works Smarter not Harder


Mwanaume wa mkoani=mtu ambaye yupoyupo tu,hajipendi,mchafu,ana mambo ya ajabu ajabu,anatumia nguvu nyingi kuliko akili
Wala chips mna mambo[emoji23] [emoji23]

sent from Sokoro nkorambokande
 
Back
Top Bottom