i see 😉Am here
Ahh hapa kwenye mwanaume wa dar palekebisheBwana Yule,Pogba,Juma Ponda Mali,baba Jesca =Magufuli
Popoma=mtu asiyejielewa
Wazee wa buku saba=wafuasi wa chama cha mapinduzi.
Kiboksi manyoya=sehemu ya siri ya mwanamke
Abdallah Kichwa wazi=Uume
Mwanaume wa Dar=Mtanashati,mtu mjanja mjanja,mtu anayekwenda na wakati,mtu mwenye upeo mkubwa kuhusu madili yote hapa town,mtu ambaye ana works Smarter not Harder
Mwanaume wa mkoani=mtu ambaye yupoyupo tu,hajipendi,mchafu,ana mambo ya ajabu ajabu,anatumia nguvu nyingi kuliko akili
Pana mapungufu gani?
Application, jf appKuingia humu JF Unatumia application au browser?
Mwanaume wa dar= mtu ambaye tofauti yake na mwanamke ni jinsia ila tabia na matendo yao hawana tofauti.Bwana Yule,Pogba,Juma Ponda Mali,baba Jesca =Magufuli
Popoma=mtu asiyejielewa
Wazee wa buku saba=wafuasi wa chama cha mapinduzi.
Kiboksi manyoya=sehemu ya siri ya mwanamke
Abdallah Kichwa wazi=Uume
Mwanaume wa Dar=Mtanashati,mtu mjanja mjanja,mtu anayekwenda na wakati,mtu mwenye upeo mkubwa kuhusu madili yote hapa town,mtu ambaye ana works Smarter not Harder
Mwanaume wa mkoani=mtu ambaye yupoyupo tu,hajipendi,mchafu,ana mambo ya ajabu ajabu,anatumia nguvu nyingi kuliko akili
Huu ni Uzi Maalum kwa wageni na wote ambao baadhi ya maneno yanawapiga chenga, Uzi huu utatoa maana na mwanga juu ya Maneno yatumikayo humu JF.
Hii ni ili kupunguza adha ya kutoelewa nini kinazungumziwa maneno au neno Fulani linapotajwa. Hizi ni 'Codes' Maalum sana JF, ukishazijua itakufanya uifurahie JF zaidi.
Maneno hayo yapo mengi humu, lakini Mimi nitataja baadhi na wenzangu watasaidia katika maneno mengine. Nitaandika neno na maana take katika lugha halisi ambayo inaweza isiwe ngumu kwako.
PM - Private Message
Papuchi - Uke/Sehemu ya Siri ya Mwanamke
Sizonje - JPM
Kibamia - Uume mdogo
Mkuyenge - Uume Mkubwa
Kufukua Makaburi - Kufatilia nyuzi/Uzi wa kipindi kilichopita
Assist - Kutapeli
Mengine wataongezea WanaJukwaa wengine.
Huu utakuwa muongozo kwa wote watakaokuwa hawajui wengine wanamaanisha nini.
Ohooooo!!!Mwanaume wa dar= mtu ambaye tofauti yake na mwanamke ni jinsia ila tabia na matendo yao hawana tofauti.
Sent from my Huawei mate 9
nenda hapo unapotaka kutype comments utakuta hicho kipini nimewekea alama ya njano hapo jirani na neno SEND,click hapoApplication, jf app
et al
ahaha mkuu hapo kwenye wanaume wa Dar umeegemea upandeBwana Yule,Pogba,Juma Ponda Mali,baba Jesca =Magufuli
Popoma=mtu asiyejielewa
Wazee wa buku saba=wafuasi wa chama cha mapinduzi.
Kiboksi manyoya=sehemu ya siri ya mwanamke
Abdallah Kichwa wazi=Uume
Mwanaume wa Dar=Mtanashati,mtu mjanja mjanja,mtu anayekwenda na wakati,mtu mwenye upeo mkubwa kuhusu madili yote hapa town,mtu ambaye ana works Smarter not Harder
Mwanaume wa mkoani=mtu ambaye yupoyupo tu,hajipendi,mchafu,ana mambo ya ajabu ajabu,anatumia nguvu nyingi kuliko akili
Mmmh kumbe basi Kuna mtu namjua anafanana na huu msamiati[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwanaume wa dar= mtu ambaye tofauti yake na mwanamke ni jinsia ila tabia na matendo yao hawana tofauti
Sent from my Huawei mate 9
Niambie basi usifanye siri mimi pia nataka nimjue[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmh kumbe basi Kuna mtu namjua anafanana na huu msamiati[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh huu sasa umbea[emoji38]Niambie basi usifanye siri mimi pia nataka nimjue[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my Huawei mate 9
Wanasema mwanamke umbeya ni sunaDuh huu sasa umbea[emoji38]
Siitaki hiyo sunaWanasema mwanamke umbeya ni suna
Sent from my Huawei mate 9
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Siitaki hiyo suna