JF Exclusive: Mauritius Leaks name Tanzania companies in tax avoidance

Mkuu hana washauri wa kodi,fedha na uchumi?
Hawamshauri kuhusu TRA?
 
Nimetumia maneno mawili yaani ukwepaji na uepaji; kwa lugha ya Elizabeth ni Tax Evasion na Tax Avoidance. Nafahamu wameongelea tax avoidance ambayo unatumia loopholes za sheria za kodi kufanya tax planing na hivyo kuepa kodi (tax avoidance) which is legal. Lakini nikuambie tu kwamba uepaji (avoidance) na ukwepaji (evasion) hawa ni ndugu wa baba mmoja japokuwa one is legal and the other is illegal (criminal act).

Illicit financial flows toka nchi zetu hizi inafanyika kwa msaada wa hayo ma audit firms!
 

Hebu niambie viwango vya kodi katika nchi zingine hata za dunia ya kwanza vikoje hasa corporate tax ukiachilia mbali hizo tax havens kama Mauritius, Virgin Islands, Isle of Man, Cayman Island and the like. Najua corporate tax/income tax rates duniani nyingi ni kati ya 25 na 45, ukiachilia mbali Tax Havens!
 
ubatizo huu wa hivi vitu viwili ni sawa sawa kabisa na mazingaombwe ya ubatizo wa uuzaji na ununuzi wa share za accacia Kwa Barrick .... hawa ni Baba mmoja mama mmoja lakini tumbo mbali mbali .... huwezi kuwatofautisha Barrick na Accacia .... wacha tuendelee kunyolewa nywele na machine ya kukatia majani ya ukoka
 
Wewe tafsiri vyovyote upendavyo mradi ni "avoidance" hakuna dhambi. Dhambi ni "tax evasion".

Mkuu ni kweli kabisa siyo kosa la kisheria ila ni dhambi ya kuwanyonya wanyonge!! Siyo kila dhambi ni kosa kisheria. Unafahamu kwamba ukizini na mke wa mtu ukakamatwa ugoni kwa Tanzania Bara siyo kosa kisheria lakini ni dhambi? Lakini ukikikamatwa ugoni kitongojini Zanzibar ni kosa kisheria na ni dhambi vilevile.

Tax Avoidance ni dhambi lakini si kosa kisheria ila tax evasion ni dhambi na ni kosa kisheria. Upo? Wasalimie Kariakoo
 
Hizo ni lugha za kimasikini na kushindwa na maisha. Nani alikuhubiria uwe mnyonge?

Usitake kulazimisha makosa. Mauritius wanatangaza biashara yao.

Huko uakosema kosa ndiyo wazinzi wa kutupwa. Cheza na pweza wewe.

Nsni asiyoifahamu Zanzibar? Kama haitoshi, ukiona mpaka imefikia hatua hiyo ujuwe ni tatizo kubwa huko.

Makabila mengine Tanzania wanaombea wamshike mtu ugoni wajipatie ng'ombe au mtaji.
 
At least Nyerere was genuine, he failed and didn't benefit from his failure. You could easily tell that he believed in what he said and acted accordingly though in the end he failed miserably. The ones that took over from him have failed us deliberately and have amassed a huge amount of money in the process.
 
Ni makampuni mengi sana na yameshamiri wakati huu wa awamu ya tano kwa sababu ya Serikali kutojua mambo haya
Tunaongozwa na viongozi wasiojua kesho yetu ndio maana mambo yanaenda mrama.
Atleast nyie mmeliweka kwenye ilani yenu
 

Zitto acha utani, kwa hiyo ile list ya wahindi ndio ulikuwa unatishia nayo wanaume mpaka ukawa unajifanya sitaki nataka!? Sisi ni watu wazima tafadhali, uwe unaangalia na maelezo ya kutuambia boss.
 
Kiongozi mbona leo umekuwa mbogo? Nani kaguswa hapo? Nimesema unafahamu kwamba Zanzibar.... sijasema unaifahamu Zanzibar! Hiyo Avatar yenyewe inaashiria kwamba Unaifahamu Zanzibar!

Hakuna kulazimisha Tax Avoidance iwe tax evasion bali ninachosema hawa jamaa wana undugu! Transfer Pricing ni avoidance lakini ni dhambi!
 
Uakosema---unakosema


Ludi shule tafadhari


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…