JF Exclusive: Mauritius Leaks name Tanzania companies in tax avoidance

JF Exclusive: Mauritius Leaks name Tanzania companies in tax avoidance

Nimejitahidi kusoma nilikuwa natafuta tu majina ila wapi.Bila majina the whole text,Il est nul.
 
The aim of any business is to make profit by any means ,even by avoiding tax legally. Our tax rates from small scale traders to big corporations are very high and thus making tax avoidance a priority for business.
 
Mimi sijui jamani huwa Kuna saa nampendaga tu JPM ila nilivyoona Rostam Ikulu mwili ulisisimka kwa kweli nilihisi hatuachi wala hatatuacha salama hata kidogo. It a matter of time Rostam atatuuza wazima wazima. Yaani JPM please mwanga lie huyu mtu kwa macho ya kiroho sio Ya kiuchunguzi, au ya kibinadamu tumekwisha
 
Mkuu
Mkuu inawezekana unatokea huko lakini kiuhalisia ni kwamba hawa wanaoitwa the Big Four ni abetters wakubwa kwenye mambo ya ukwepaji na uepaji wa kodi hasa kwenye hizi nchi zetu. Wakiendelea kutoa taarifa hizi lazima PwC, Delloite and Touche na E&Y lazima wata surface. Makampuni ya kuhasibu si ya kimataifa peke yake hata haya madogo ya ndani yana mchango mkubwa sana kwenye kufifisha ukusanyaji wa kodi katika nchi hasa za dunia ya tatu. Wakati Mh Rais alipokutana na wafanyabiashara aliligusia hili suala na baadaye nikasikia NBAA wamechukua hatua dhidi ya kampuni kadhaa za utengenezaji na ukaguzi wa hesabu.
Mkuu haya makampuni uliyoyataja hayakwepi na kuvunja bali yanatumia loopholes za sheria zetu. Hilo sio dhambi na ni global strategy intact Pan African companies zimesajiliwa Mauritius.

Uzi umewekwa indicating kuna makampuni mengi lakini inamuongelea Ubongo Group na consultants wao KPMG pekee. Hapa yanatengenezwa mazingira ya kuwaona KPMG ni 'wahuni' na hawafai. This isn't right.

Chanzo cha tatizo ni mfumo na viwango vya kodi katika nchi nyingi za Africa havishawishi uwekezaji. Consultant yoyote anayejielewa angetoa ushauri kama wa KPMG.
 
Rostam ndiyo mfanya biashara pekee aliyeweza kumwambia Rais ukweli (wakati wa uzinduzi wa kiwanda chake cha gas) kuwa alihamisha mitaji yake.
 
Thanksfor the information and this can be a very useful lesson to learn to our tax policymakers in our country. look if one can pay 3% tax on one tax regime and the same is charged 30% in the other tax regime.dont ask question its obvious for the serious businessman will definitely look for a room in 3%tax regime. its now high time to think why we cannot be a tax heaven country
 
Acha wivu na ushamba. Mwanaume anatafuta, anahangaika, wewe unataka pesa ikujie kitandani umelala? Tafuta za kwako. Mijitu mingine mijinga sana.
Ni kweli saa hii mimi nimelala, tofauti ya masaa uliko na nilikomimi almost 8hrs, na ni kweli mimi mjinga but still naendelea kujifunza lakini nakuhurumia wewe uliye mpumbavu kama wapumbavu wengine ambao Magufuli huwataja hadharani
 
Mmesoma vizuri na mmeelewa mlichokisoma?

Hilo ni tangazo la biashara kwa sababu, "tax avoidance" siyo kosa isipokuwa "tax evasion" ndiyo kosa.

Hapo Mauritius wanajipigia debe.

Mitanzania bwana imeshaanza kujaza watu ujinga kama vile hapo kuna kosa.

There is an issue of Transfer pricing my dear, Tax avoidance through tax havens is not a sin but tax evasion.
 
Among those names were business mogul, Rostam Aziz, Quality Group Limited CEO Yussuf Manji, politician and Member of Parliament for Morogoro – through ruling party, CCM - Abdul-Aziz Mohamed Abood, and the head of Kilimanjaro Safaris Eric Pasanisi.

Jamaa hawa mbona ni wafanyabiashara wanaojulikana tu, au shida ni kuweka pesa zao nje ya nchi?
 
There is an issue of Transfer pricing my dear, Tax avoidance through tax havens is not a sin but tax evasion.
The article never talks about evasion. Read it carefully. You'll find it's simply a marketing article.

Rostam ni nambari nyengine. Ni mfanya biashara pekee aliyeombwa na Rais mbele ya halaiki kuwa alete wawekezaji kama yeye. Rejea uflzinduzi wa Taifa Gas.

Siku ukijuwa kuwa mali zake ni mali za CCM pia usishangae.
 
Mmesoma vizuri na mmeelewa mlichokisoma?

Hilo ni tangazo la biashara kwa sababu, "tax avoidance" siyo kosa isipokuwa "tax evasion" ndiyo kosa.

Hapo Mauritius wanajipigia debe.

Mitanzania bwana imeshaanza kujaza watu ujinga kama vile hapo kuna kosa.
Why these leaks, kwanini taarifa zisiwe za wazi bado hujiulizi? Wana avoid tax kwetu ili wakalipe huko kidogo. Nakuheshimu sana, sana kuliko unavyofikiria. Tumia lugha nzuri pia
 
The article never talks about evasion. Read it carefully. You'll find it's simply a marketing article.

Rostam ni nambari nyengine. Ni mfanya biashara pekee aliyeombwa na Rais mbele ya halaiki kuwa alete wawekezaji kama yeye. Rejea uflzinduzi wa Taifa Gas.

Siku ukijuwa kuwa mali zake ni mali za CCM pia usishangae.

Kumzungumzia Rostam na Biashara zake unaweza kuwa kichaa, Huyu si ndio aliuza shares zake za vodacom kwa kampuni ya vodafone south Africa ambayo pia anaimiliki?
 
Mmesoma vizuri na mmeelewa mlichokisoma?

Hilo ni tangazo la biashara kwa sababu, "tax avoidance" siyo kosa isipokuwa "tax evasion" ndiyo kosa.

Hapo Mauritius wanajipigia debe.

Mitanzania bwana imeshaanza kujaza watu ujinga kama vile hapo kuna kosa.
Tax avoidance siyo kosa kisheria lakini ni kupungukiwa uzalendo!
 
Back
Top Bottom