Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni makampuni mengi sana na yameshamiri wakati huu wa awamu ya tano kwa sababu ya Serikali kutojua mambo haya
#TBT
Zitto: Broaden tax base to ease burden on workers
Tuesday May 2 2017
The ACT Wazalendo leader Zitto Kabwe yesterday called on the government to broaden the tax base to ease the burden on workers. He said in a press statement that a lower tax base means salaried workers are heavily taxed.
Hivi hawawezi kufanya uchunguzi hata kwa ndugu yao? Je kwetu sisi si itakuwa sio habari. Haya mambo yanatisha sana,Kongole kwa JF teamKweli umesema, hivi Citizen na Mwananchi wanafanya nini kuhusu Azory? Kama wamelala namna hii. Wameacha kumsaka na kazi hiyo inafanywa na kukomaliwa na wazungu. "Tanzania nakulilia"
It must be people from CCM. This is cancer eating our beloved contrywho are the legal owners of Ubongo Group with their stakes respectively in person?
Hapo kwenye kukuza uchumi wa mtu mmojammoja kuna jamaa hapendi balaa, anatamani wote tungekuwa na mashati mawili, suruali moja na yunifomu ya kuendea kazini tu ili tuuone utukufu. Mine is an ordinary mindUmeandika vitu vikubwa sana ambavyo sidhani kama watu wanakuelewa maana watanzania tunaishi kishabiki shabiki sana..
Ulichoandika ndio muarobaini hasa wa kuongeza makusanyo na kustimulate uchumi wa mtu mmoja mmoja. Tax base ikiwa kubwa maana yake umeshirikisha watu wengi kwenye uchumi na umefanya watu wengi kuwa productive..
Tunaweza kuwa na population kubwa ikawa unproductive huku nchi yenye population ndogo ikafanya watu wake productive ikakuzidi mbali kwenye uchumi.. The only way ya kuongeza tax base ni kuitumia vizuri population ya 50milioni people ikawa productive kiasi cha kujifeed yenyewe kwanza na surplus inakwenda nje, hapa tunaweza kujifunza kwa mchina.
Mungu akubariki uendelee kuelimisha jamii ipo siku watu wataelewa na hata wasipoelewa utakuwa umetimiza wajibu wako duniani..
Mkuu inawezekana unatokea huko lakini kiuhalisia ni kwamba hawa wanaoitwa the Big Four ni abetters wakubwa kwenye mambo ya ukwepaji na uepaji wa kodi hasa kwenye hizi nchi zetu.Shukrani kwa kuleta Uzi huu. Hata hivyo am sceptic to its authenticity, how does the whole issue rest on one company and a single tax consultant?
The way ilivyokuwa structured inawachafua KPMG bila sababu.
I prefer to call it ignorance but truth be told that whatever these groups and their entities are doing in Mauritius,its under the laws of Mauritius as a tax haven.Hence, our government on its tax greed schemes can't do anything maybe to empose embargo on bussiness on their tz sister companies, and this should be a blue print to the government that bussinessmen ain't fools.I think i should tour Belize,Panama to learn these tactics and advice our government that, maybe high tax ain't the solution.Ni makampuni mengi sana na yameshamiri wakati huu wa awamu ya tano kwa sababu ya Serikali kutojua mambo haya
Rostam kichaka cha ufosadi wa ccm.Shares za vodacom kumbe za ccm ila Rostam alipachikwa tuu.Channel Ten etc vya ccm Rostam kichaka tuu.Nilikua najiuliza Igunga kuna biashara gani hivyo mpaka Rostam atoboe???bado wanyama wa porini mlijionea ma silaha pemba alizokutwa nazo mdogo wake hivyo RA ni chaka la ufisadi ccm.Bado Richmond etc.Hii Taifa Gas Mihan Gas ya juzi nasikia kisha uza mauritius"Among those names were business mogul, Rostam Aziz"
Bado kuna anayeamini tunapambana na ufisadi!? Au tunakunywa nao chai na kupishana kwenye podium.
Azam Media nao wapo kwenye orodha hiyo.
Mkuu ungeanzisha uzi wako kuhusu hii kitu muhimu maana naona ni muhimu lakini umeweka as an insert kwenye huu uzi.#TBT
Zitto: Broaden tax base to ease burden on workers
Tuesday May 2 2017
The ACT Wazalendo leader Zitto Kabwe yesterday called on the government to broaden the tax base to ease the burden on workers. He said in a press statement that a lower tax base means salaried workers are heavily taxed.
Ulikuwa unasubiri nini kuyataja hayo makampuni?Ni makampuni mengi sana na yameshamiri wakati huu wa awamu ya tano kwa sababu ya Serikali kutojua mambo haya
amesha compromise na he has price tagMh Zitto heshima yako.
Nakukumbusha tu ulituahidi kutuletea orodha ya Watz walificha pesa uswisi.
Nadhani sasa ni wakati muafaka wa kutuletea orodha hiyo. Else unatupa mashaka kuwa huenda uliwekwa mfukoni.
Bado tuna hamu kuipata orodha ile Au tuchukulie tu ilikuwa ni tamthilia ya isodingo. Sawa na tamthilia za mtoto mpendwa wa baba?
Kwa Magu hakuna jiwe lisilogeuzwa.Rostam kichaka cha ufosadi wa ccm.Shares za vodacom kumbe za ccm ila Rostam alipachikwa tuu.Channel Ten etc vya ccm Rostam kichaka tuu.Nilikua najiuliza Igunga kuna biashara gani hivyo mpaka Rostam atoboe???bado wanyama wa porini mlijionea ma silaha pemba alizokutwa nazo mdogo wake hivyo RA ni chaka la ufisadi ccm.Bado Richmond etc.Hii Taifa Gas Mihan Gas ya juzi nasikia kisha uza mauritius
Tatizo la TRA ni kwamba wanaamini kukadiria kodi kwa kiwango kikubwa ni kuongeza mapato ya serikali.In 2015 KPMG provided advice on the “economical means of Ubongo Mauritius extracting profits from Ubongo Tanzania,” according to a Ubongo planning document. One KPMG suggestion was that the Mauritius subsidiary lend money to the Tanzanian one, so that the money used to repay the loan would be taxed at 3% in Mauritius rather than 30% in Tanzania.
Kuna la kujifunza kama nchi.
Corporate tax kwa tz ni 30%
Corporate tax kwa Murts ni 3%
Takwimu zinaonyesha uchumi wa Mauritius unakuwa vizuri zaidi ya tz licha ya kodi kuwa ni ya chini.
JPM analalama kuwa licha ya watz ni mil 55 lkn walipa kodi ni wachache sana.
Unapokuwa na kodi ndogo idadi ya watakaomudu kulipa kodi huongezeka. Kwa tax ya 3% ya kodi tz itahitaji idadi ya either kila bidhaa inayozajishwa au huduma 30mil tu zikatwe kodi ya tsz 3/- tu ili tz iweze kukusanya makadirio yake ya 33.1t