FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Dhambi ya kitabu kipi?Kiongozi mbona leo umekuwa mbogo? Nani kaguswa hapo? Nimesema unafahamu kwamba Zanzibar.... sijasema unaifahamu Zanzibar! Hiyo Avatar yenyewe inaashiria kwamba Unaifahamu Zanzibar!
Hakuna kulazimisha Tax Avoidance iwe tax evasion bali ninachosema hawa jamaa wana undugu! Transfer Pricing ni avoidance lakini ni dhambi!
Watu wanaongea ya Mauritius wewe unaongea ya Zanzibar kama si ujuha nini huo?
Hiyo avatar huyo ni mwanamama wa Kamarekani hana uhusiano na Zanzibar kabisa.