the truecaller
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 809
- 940
Kama sipo kipengele chochote wana jukwaa msikubaliane na hizi list. Ni fake.
labda utakuwepo jukwaa la wakubwa
Ila huyu Mshana Jr huyu... Nimeshangaa leo asubuhi nimefungua jukwaa la hoja na habari mchanganyiko, nikakuta karibia page 1 yote nyuzi zake zimejipanga.
Ila huyu Mshana Jr huyu.. sijui huwaga anatumia kizizi..!? Yan leo nmefungua jukwaa la habari na hoja mchanganyko, nkakut karibia page 1 nyuz zake ndo zmejipanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata hapa comments yako imeji tripleIla huyu Mshana Jr huyu.. sijui huwaga anatumia kizizi..!? Yan leo nmefungua jukwaa la habari na hoja mchanganyko, nkakut karibia page 1 nyuz zake ndo zmejipanga.
Hee, umefanyaje comment yangu hadi ikawa triple Mshana Jr wakati nilipost comment moja tu? Kweli we sangoma.Mshana Jr said:hata hapa comment yako imeji triple
Eti hilo jukwaa huwa lipo kweli?ππππππ
Ungesema "hii siyo ac yangu ya kwanza ningekuelewa"
Maandishi meengii khaa! Nina muda Sasa wa kukariri ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app