JF Expert Members of all time

JF Expert Members of all time

Mwisho wa siku nawauliza nini hasa mnachojivunia nyinyi na familia zenu,kwa uwepo wenu nyuma ya keyboards of all time?

Kuna mtoto wenu hata mmoja kwenye wale 10 bora wenye class A,A,A,A,A,A,A,A,A?

Akili mukichwa,mtazeeka na stress wakati wenzenu maisha yakisonga mbele uzuri.
Jaribuni ku ballance mipangilio ya maisha na hizi social media.

Wengi mnatumika bila kujielewa na saa hazigandi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila huyu Mshana Jr huyu... Nimeshangaa leo asubuhi nimefungua jukwaa la hoja na habari mchanganyiko, nikakuta karibia page 1 yote nyuzi zake zimejipanga.
Ila huyu Mshana Jr huyu.. sijui huwaga anatumia kizizi..!? Yan leo nmefungua jukwaa la habari na hoja mchanganyko, nkakut karibia page 1 nyuz zake ndo zmejipanga.
Ila huyu Mshana Jr huyu.. sijui huwaga anatumia kizizi..!? Yan leo nmefungua jukwaa la habari na hoja mchanganyko, nkakut karibia page 1 nyuz zake ndo zmejipanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata hapa comments yako imeji triple

Jr[emoji769]
 
Ungesema "hii siyo ac yangu ya kwanza ningekuelewa"

Maandishi meengii khaa! Nina muda Sasa wa kukariri ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila una muda wa quote ujinga[emoji23][emoji23] duh hii kweli kali


Maelezo mengi, toa yako machache

Kiherehere chako cha quote comment isiyokuhusu ndio imekufanya upate hayo maelezo mengi!!!
 
Back
Top Bottom