Hii bei gn mkuu
Kuna hizi meza za epoxy resinSio kama nampigia promo wala nini....
Ila kuna jamaa anatengeneza fanicha mtaani....!!👌👌👌.
Yaani ameweza hadi ameweza tena.
Kwa Dar sijui ila China niliona bei iko juu sana kama mbao ni halisiKuna hizi meza za epoxy resin
Kuna watu wanatengeneza Dar Ila nilikuwa naperuzi nikawaona kwenye mtandao.
Sijui wanauza bei gani
Kama hii View attachment 3451522
DuuKwa Dar sijui ila China niliona bei iko juu sana kama mbao ni halisi
Au wananunua China na kujitangazaKwa Dar sijui ila China niliona bei iko juu sana kama mbao ni halisi
Asante sanaHebu ngoja nikirudi bongo niende Keko