JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Umealika akina nani sasa??
Mbona muandaji wa party mwenyewe mshamba hivyoo??

Aisee,
Huna sifa ya kuandaa party, huna hata kidogo.
Una hasira, unajiona, unajikwezaa.

Kwa hapo tu naona hiyo party itakua ya kishamba kama wewe.

Ukishaweka mada humu JF sio yako, ni ya wana jukwaa.

Umealika memba wote waliojisajili wachangiee.

Mshamba sana wewe dada.
Mbona unakuwa kama siyo managi, bwashee[emoji706]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shem nacheka mm ujue jf hii usiichukulie serious watu hata kujuana hatujuani tutaongea zaidi kule nyumbani kwetu
Shunie ... Ntakuja.. Nataka nikuone ... Nkuletee zawad gani
 
U can't b serious GM...upambane na she? For what purpose?

We toa alternative premises, tuone kama tunaweza secure it...party ni ya kwetu wote hakuna owner wa hii party!
Wit,
I was a marketing manager at Golden memory, Mwika social hall na hata Best Choice ya tabata.

Hakuna ishu ngumu kama kuandaa party, nimeanza kuandaa party, tour kuanzia sekondari hadi chuoni. Wanaoijua ID hii wakisoma hapa watathubitisha.

Unapo andaa ishu kwanza lazima usikilize, ukubali kutukanwa, kupingwaa nk

Kuna watu kwenye ishu km hizi huwa hawana uwezo wa kuja, na mara nyingi hukatisha wengine tamaa ilimradi ishu ifeli

As a leader unapaswa kuwajua hao watu na jinsi ya kuendana nao.

Kwa uzoefu wangu muandaji hana sifa ya kusimamia hata birthday.
 
Back
Top Bottom