Nitapambana niwe kwenye kamati ya maandalizi dear.Hilo jibu hilooo...watuwekee na mishikaki yetu pembeni tena kama inawezekanaa...na chips kabisaa!!LA sivyo watatupunja hawaa..waleviii..hahahaaa
Kila kitu kitakuwa mukideee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitapambana niwe kwenye kamati ya maandalizi dear.Hilo jibu hilooo...watuwekee na mishikaki yetu pembeni tena kama inawezekanaa...na chips kabisaa!!LA sivyo watatupunja hawaa..waleviii..hahahaaa
Umeona eeehKweli hapo nimekuwa mbinafsi, ila nimechukulia first plan Kigamboni, then Kinondoni naona kama ni Centre, hata Uber, Taxify, Bajaj zinapatikana kwa wasio na private.
All in all tuombe ifanikiwe, maana hakuna party isiyo na changamoto.
Kuna watu hatutakuja kwa sababu binafsi lakini tunasingizia dress codes, ukumbi nk
Hao wala hawanisumbui.Shida tupu. Ujuaji wa hovyo na kupinga kila kitu. Wanaboa kama nini.
Chakula kipo hapo hapo mkuu.Naomba niwe mpish mkuu ... Mi sina hela ... Ila nshawah mpikia obama ..
Soda kreti 10k...[emoji85][emoji85]Yaani kama kila mtu anakunywa vinywaji vya elfu 20 si unajua pombe ghali.. Dear na sisi tunabanana tunywe zetu soda za elfu 20.
Usisahau kuja na pochi ya kuhifadhi nyingine
Kula[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Nitapambana niwe kwenye kamati ya maandalizi dear.
Kila kitu kitakuwa mukideee
Hahahahahaa. Umetoa wazo zuri. Nadhani wale tutakaoshiriki siku hiyo tutakubaliana kabisa tunakunywaje. Maana huwezi muweka Shunie anywe sawa na Mimi atanipunja
Haaahaaa...you guys know each other?Labda navaa nae pedi.
Utajuaje
Bwana shushushu suggestion kwenye hilo tafadhali.Kwenye malipo hapo naona kutakuwa na wepesi Wa nyie waandaji kumfahamu kila mtu
..
nitajihidi nihudhurie Ila sitapenda mtu yoyote anielewe ..my take Kama mnaweza kuboresha zaidi itapendeza
Baada ya malipo nikiscreeshort nitawatumia afu nyie mtanipa namba ya kuponi hivyo mtajua Kelvin Ana kupon namba ngapi hii itasababisha shushu Wa kujitegemea ninaswe kirahisii
Kama kutakuwa na njia mbadala naamini itakuwa njia nzuri kwa mashushu aina yangu
Wenu mtiifu marcus
Haina, nitasimamia mwenyewe uzur ni kule uhindini hamna janja janja[emoji13]Hilo milkshake haina kilevi kweli?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Umeielewaa eeeh.Safi sana hii
Uache umarayaa utakuja kupigwaMimi niwe mkweli siji kwasababu sitaki kugonganisha magari.
Hahahaha nakuona na hesabu zako za toa na zidisha[emoji23]Hilo jibu hilooo...watuwekee na mishikaki yetu pembeni tena kama inawezekanaa...na chips kabisaa!!LA sivyo watatupunja hawaa..waleviii..hahahaaa
Yaap sisi tusio walevi lazima tukomae ikiwezekana ata na soda BongeUmeielewaa eeeh.
Yani hata wakati Niko mwanachuo hatujawahi kufanya party coco labda zile za bday tena tulikua tunafanyia kule lounge kwa Side. Siku labda tupange tukale mihogo na vimishkaki vileHahaha coco.. Kuna mihogo na vijimshkaki flan kule cheap
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenzangu pombe bei sawa wengine sio walevi!!!Hahahaha nakuona na hesabu zako za toa na zidisha[emoji23]
Ndiyo duuh.Soda kreti 10k...[emoji85][emoji85]