Hahahaha na huu mzigo wangu hicho ki phonex si nitakivunjaBrother Don ananiazima kidride/phonex yake. Utakaa nyuma
Ushamba mzigo.Huu n mvumo wa radi. .[emoji23][emoji23] mbinu mpya ya kupiga hela. #wajanja wa mjini
Mbona unakuwa kama siyo managi, bwashee[emoji706]Umealika akina nani sasa??
Mbona muandaji wa party mwenyewe mshamba hivyoo??
Aisee,
Huna sifa ya kuandaa party, huna hata kidogo.
Una hasira, unajiona, unajikwezaa.
Kwa hapo tu naona hiyo party itakua ya kishamba kama wewe.
Ukishaweka mada humu JF sio yako, ni ya wana jukwaa.
Umealika memba wote waliojisajili wachangiee.
Mshamba sana wewe dada.
Safi sana hiiYaani kama kila mtu anakunywa vinywaji vya elfu 20 si unajua pombe ghali.. Dear na sisi tunabanana tunywe zetu soda za elfu 20.
Usisahau kuja na pochi ya kuhifadhi nyingine
Shunie ... Ntakuja.. Nataka nikuone ... Nkuletee zawad gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shem nacheka mm ujue jf hii usiichukulie serious watu hata kujuana hatujuani tutaongea zaidi kule nyumbani kwetu
Shida tupu. Ujuaji wa hovyo na kupinga kila kitu. Wanaboa kama nini.Saiv JF imeingiliwa na watoto yaani shida tupu...
YaaniMbona unakuwa kama siyo managi, bwashee[emoji706]
Kunywa grandmalt ndiyo dalili ya kuanza kunywa pombe kweli siyo ubahiliUbahali umeanza lini sho[emoji23]
Eenh unamjua nje ya jf shem wangu hizi mada tutadiscuss vizuri sana kule nyumbani kwetu kwa marefu na mapana tatizo nawe umekuwa adimu sanaUnadhani nachukulia serious basi alafu sio wewe kuna mwingine nawaona wamegandana kumbe mmoja wao namjua namchora tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] woyoooooo[emoji125] [emoji125]Hahahaaaa.....Ntakuja na Vogue bibieeee!!!!!
Mi bado natafuta partner wa kucheza nae blues siku hiyoMkwee...nshalipiwa miyee...na wajua kabisaa alipo shuni nipoo...[emoji2] [emoji2] [emoji2] sina partner zaidi yakee!!!
Achana na kupambana kwanza toa mawazo yakoNgoja nipambane na huyu madame kwanza,
Nikiwepo utaniona baba swalehe zawadi ninayotaka ni mahela tu pekeeShunie ... Ntakuja.. Nataka nikuone ... Nkuletee zawad gani
Hiyo ni hairuhusiwi.Woyoooo, nishadouble click... Mmi makitu yangu haya yanafit kwel.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 866488
HahahaahaaHizo jeans za kubana wengine hatujazoea, vipi bana tunaopenda suruali za vitambaa mabwanga kama kiduku wa Pyongyang tunaruhusiwa kwa iyo party?
Wit,U can't b serious GM...upambane na she? For what purpose?
We toa alternative premises, tuone kama tunaweza secure it...party ni ya kwetu wote hakuna owner wa hii party!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo ni hairuhusiwi.
Utajaza nyuki ukimbini wakijua ni maua.