Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Utakuwepo kwenye party?Ndio best
Umemaliza.Kama unataka ku party fata maelekezo nenda kaparty.
Kama hutaki ku party au huna hela kaa kimya acha wenzio wale maisha.
Hayo ndio maoni yangu msiniulize kama nimeulizwa maoni yangu ni yapi.
Bora wewe tumbo lipo na msambwanda upoo..haya Mimi sasa...tumbo pipa nyuma flat nchi 62 akuuuMwenyewe ntajificha hawakawii kuja kuniandikia Uzi na tumbo langu
Nakuona [emoji102][emoji258][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SawaaaDj piah aweke mziki laini mida flani hivi ya usiku Mkubwa itakuwa powa nataka nicheze na shemeji yangu
Why jomoni[emoji24]Ndio best
Hapana naongea nachokiona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona unamtetea Patna wako mkww
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utapambana na hali yako mm nitakuja na bodaboda wangu kukuchukua na kukurudisha kwakoBora wewe tumbo lipo na msambwanda upoo..haya Mimi sasa...tumbo pipa nyuma flat nchi 62 akuuu
Njoo ID ibadilike jamaniWishing u all the best
Na soda BONGE zile sipati picha ila wanawake wenye VITAMBI ndiyo UGONJWA WANGU MKUBWABora wewe tumbo lipo na msambwanda upoo..haya Mimi sasa...tumbo pipa nyuma flat nchi 62 akuuu
Je mimi....kifupi kama mavi ya asubuhi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Bora wewe tumbo lipo na msambwanda upoo..haya Mimi sasa...tumbo pipa nyuma flat nchi 62 akuuu
Mnirudishie chenji yangu!!!Kabla ya kuondoka tutawakagua
Kwahiyo ulikua unatest uvumilivu wa muandaaji kaka? Hii yetu sote wana JF. Ukiona kitu hakipo sawa una sema kwamba badala ya NGUO nyeusi kwanini isiwe pink. Lakini kusema nyeusi hapana halafu unakaa kimya sasa tutajuaje mawazo yako?Wit,
I was a marketing manager at Golden memory, Mwika social hall na hata Best Choice ya tabata.
Hakuna ishu ngumu kama kuandaa party, nimeanza kuandaa party, tour kuanzia sekondari hadi chuoni. Wanaoijua ID hii wakisoma hapa watathubitisha.
Unapo andaa ishu kwanza lazima usikilize, ukubali kutukanwa, kupingwaa nk
Kuna watu kwenye ishu km hizi huwa hawana uwezo wa kuja, na mara nyingi hukatisha wengine tamaa ilimradi ishu ifeli
As a leader unapaswa kuwajua hao watu na jinsi ya kuendana nao.
Kwa uzoefu wangu muandaji hana sifa ya kusimamia hata birthday.
Shikamoo dadaHao wala hawanisumbui.
Nawaona washamba tu.
Ukute hata Kariakoo au hapajui.
Afu siwezi jua...
Mtu anayebishana na mwanamke namuona kama vile basha, navaa nae pedi nikiwa hedhini
We kweli unanitafuta,Hahahah
Nimejua kwanini unatoa povu.
Ulitaka tuje Mwika.....hahahhaha
Sasa kwa taarifa yako, party zote humu Jf nimeandaa mimi.
Kuanzia ya 1 mpaka ya 3.
Hakuna kilichoharibika wala kupotea.
Tafuta lingine aisee.
Ila sasa, paka, zomea, tukana, laumu hadi ukitaka kunnya hapa jukwaani kunnya tu.
Ila ndio hivo.
Ukija kijeuri nami nakujibu kijeuri.
Ukija kichoko nami nakujibu kichoko.
Mkuu hawa wavaa shanga wenzetu wanakera samtaim.Madame acheni kuchafua hii plan, keep it in mind kwamba kwa kila jambo wapingaji wapo, usipoteneze energy ambayo ungeitumia kuweka mikakati kwa kuwajibu negative minded people.
Focus on the main issue please.
Mzigua90 take note of this.
Sawa mkuuNaona mpira umerudisha kwa kipa.. Ngoja niwaze huku nikiwaacha mnafikiria zaidi
Nachamgamshaa gengee...hahaaNakuona [emoji102][emoji258]