JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Kama unataka ku party fata maelekezo nenda kaparty.

Kama hutaki ku party au huna hela kaa kimya acha wenzio wale maisha.

Hayo ndio maoni yangu msiniulize kama nimeulizwa maoni yangu ni yapi.
Umemaliza.
Wakae kimya na wapite kushoto.
Sio lazima kila mtu ahudhurie.
Wengine wabaki kusoma comments
 
Wit,
I was a marketing manager at Golden memory, Mwika social hall na hata Best Choice ya tabata.

Hakuna ishu ngumu kama kuandaa party, nimeanza kuandaa party, tour kuanzia sekondari hadi chuoni. Wanaoijua ID hii wakisoma hapa watathubitisha.

Unapo andaa ishu kwanza lazima usikilize, ukubali kutukanwa, kupingwaa nk

Kuna watu kwenye ishu km hizi huwa hawana uwezo wa kuja, na mara nyingi hukatisha wengine tamaa ilimradi ishu ifeli

As a leader unapaswa kuwajua hao watu na jinsi ya kuendana nao.

Kwa uzoefu wangu muandaji hana sifa ya kusimamia hata birthday.
Kwahiyo ulikua unatest uvumilivu wa muandaaji kaka? Hii yetu sote wana JF. Ukiona kitu hakipo sawa una sema kwamba badala ya NGUO nyeusi kwanini isiwe pink. Lakini kusema nyeusi hapana halafu unakaa kimya sasa tutajuaje mawazo yako?
 
Hahahah
Nimejua kwanini unatoa povu.
Ulitaka tuje Mwika.....hahahhaha
Sasa kwa taarifa yako, party zote humu Jf nimeandaa mimi.
Kuanzia ya 1 mpaka ya 3.
Hakuna kilichoharibika wala kupotea.

Tafuta lingine aisee.
Ila sasa, paka, zomea, tukana, laumu hadi ukitaka kunnya hapa jukwaani kunnya tu.
Ila ndio hivo.

Ukija kijeuri nami nakujibu kijeuri.
Ukija kichoko nami nakujibu kichoko.
We kweli unanitafuta,
Nilimweleza kabisa mzigua, kwa jinsi nilivo ona mauthui ya party, hakuna haja ya kuchukua ukumbi.

Nikamwambia kama ni ishu simple tu, mnaweza kwenda hata pale bucket au nextdoor mkaufunga club kabisa.

Hapo ni party ya kishkaji tu
 
Madame acheni kuchafua hii plan, keep it in mind kwamba kwa kila jambo wapingaji wapo, usipoteneze energy ambayo ungeitumia kuweka mikakati kwa kuwajibu negative minded people.

Focus on the main issue please.

Mzigua90 take note of this.
Mkuu hawa wavaa shanga wenzetu wanakera samtaim.
Ok.
Poa.
Nimekusoma
 
Back
Top Bottom