JF-get together party Disemba 2018

Wewe ni mshamba,
Mshamba kwelikweli
 
Ok tushajua mshahara wako uliokuwa unalipwa!!
What next?
Unataka basha humu au unataka ndoa?
We mwenyewe pangu pakavu tia mchuzi.
Hujiwezi kwa lolote...ndo utaniweza mie
Ptuuuu......!!!!!!!!

Na aliyekwambia kwamba tunakupa kazi hii nani?
Hapa hakuna Kitchen party wala sendoff kaka.
Utakuwa umekosea njia.

Mshahara wako ni wako maana haukuwahi nisaidia.
Hahahaha
Mwanaume mzima unajisifu mshahara unaopokea?
Hahahahah.....undezi huo mkuu.
Mwanaume wa kweli anajisifia kupiga mashine bro.

Tulia ulambe dawa.
Tushajuwa mshahara wako.
Kifuatacho.....unataka tufanyaje kwa mfano?
Mxiyuuuuu....!!!!

Pesa na kibamia.
Sawa na kuwa shoga bila kutembea na Ky
 
Chillax fella. We need ur opinions nd way forward not all this distracting abc
Comment yangu ya kwanza ilikuwa simple tu,
Nilitegemea angetaka tufanyeje lkn yeye kaja na matusi.

Sisi wengine tumekulia uswaz na hata ushuani.

Badala ya kuhangaika na watu wake kuifanikisha hii party ana hangaika na mimi.

Na nimemwambia naomba nikae kimya uendelee na shughuli yako lkn bado ananipanda.

Wenzie wamemwambia anipotezee wajadili party itakuaje, hataki.

Dada mshari sana huyu, anaweza wapasulia chupa siku hiyooo
 
We si umesema nilitaka kupewa kazi??

Au umesahau ulichoandika????

Mara sijui nataka kuwapiga,

Nimekueleza sina njaa ya kupiga ela ndogo km hiyo.

Hivi kwenye 1.5 unaibaje??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akupande nani bhana wee.
Nikupande we kitanda?
Nenda kasome comment yako ya mwanzo kabisa...hujataka kujadili.
Bali umekuja kishari.

Mie mtu poa sana ila sifai hata kidogo.
Ukileta ujuaji...utakutaana na wajuaji zaidi yako.
Unaanza kunihubiria kuhusu sijui blah blah zako.
Hahahhaha.....ulizia wanaonifahamu.
Nimekulia uswazi mixer unyenyema.

Kwahiyo kijitu kimoja kama wewe hakinisumbui katu
 
We si umesema nilitaka kupewa kazi??

Au umesahau ulichoandika????

Mara sijui nataka kuwapiga,

Nimekueleza sina njaa ya kupiga ela ndogo km hiyo.

Hivi kwenye 1.5 unaibaje??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhah
Aliyekamatwa na kisu, ndie alieiba nyama.
Hahahhahha....

Wapi pameandikwa unataka kupiga?
Hahahaha.....umejiibia mwenyewe..

Hatutaki wapigaji sisi.
Kaibe huko kwa anayekuweka mjini Mwika.

Unataka 1.5 yetu pia tukupe uipigie bajeti?
Tuonee huruma jamaniiiiii.....pesa ndogo hii.
 
Hivi unajua kusoma kweli?
Wapi nimeandika unanipenda?

Kwanini usihangaike na watakao kuja kwenye party??

Unajua ungetumia jukwaa hili kuhangaika nao hao watu. Sasa unapoteza muda na mtu asiyekuja?

Tena mtu huyo kakuomba mzozo uishe kwa faida ya wengine lkn bado una nga'ng'ana nae??

Ww dada mzima kweli??

Au yashakushindaa????
 
Okay,
All is well.
For the benefits of others, let me quit this discussion.

Best wishes!!
 
Wapi nimeandika nakupenda?
Mie na wewe nani asiyejua kusoma?
Nikupende wewe mwenye sura nzito na kavu kama uvungu wa pummbu?

Mie mzima.
Ila sidhani kama wewe una uzima maana kubishana na mtoto wa kike tena kwa kuchambana basi kuna walakini.
Kama sio mwenzetu...basi mwenza wa mtu.

Hahahhahhajajajaj.......
Vumilia tu brooo.....ndo tulivyo sisi.
Wala hayajanishinda.

Kama vipi tunaweza kwenda mpaka round 50 bro.
Mchawi chaji na bando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…