JF-get together party Disemba 2018

30000 Tz shlng..........afu kuna watu wanasapotiii apa .....maisha yao magumu kichiz anavyo typ...tuu unajuaa tu uyu hali mbaya ..usiige watu ..bora iyo 30000 uanze biashara au upikee msos wakutosha ule ushilikishe mashikaji wa mtaa kwenuu.....wanaoleta mambo haya wengine wanafanya kazi mwisho wa mwezii ...anaingiza pesa 30 kwake inakuwa ndogo... ...FiKiRiA kwaNza mkitapeliwa mnaanza kuloganaa ..shaur zenu
 
Sawa mkuu. Tulichukua hapo kutokana na experience ya ushiriki wa watu kwa party zilizopita. Ikitokea watu wakawa wengi tutatafuta plan B
 
Kila mtu na maisha yake wewe elf30 kwako nyingi mwingine pesa ya sodaa!!hata kuhongi haitoshii

Humu kila mtu above 18 so ushauri km huu wapelekee wanafunzi kwenye school bash!sorry to offend uuu!!!
 
Na ndio maana sio lazima ni MTU na mfuko wake mkuu.
 
Sawa mkuu. Tulichukua hapo kutokana na experience ya ushiriki wa watu kwa party zilizopita. Ikitokea watu wakawa wengi tutatafuta plan B
Halafu kingine, wanaume wanao jua kuwa wao ni ma BIGI wawe ma sponsor kwenye party wajitokeze kwenye kwa ajili ya kuwa support kina dada ambao wanaona wanafaa kuwepo itatusaidia sana kwenye uhudhuriaji.
 
Hapo umenena maana party bila wadada hainogi etiii. Tuanze na big papa wewe unaweza ukanilipia mimi na Raynavero na mumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…