JF-get together party Disemba 2018

Humkumbuki huyo Sesten?

Juzi aliniparamia sehemu hadi nikabaki mdomo wazi. Itakuwa ndio raha yake hiyo.
Kama ambavyo wengi tunaingia huku kutoa stress kuna watu wanaingia huku kutoa frustrations zao za kimaisha kwa kutaka kuwakera wengine. Halafu anajiita mama wa MTU. Shame .
Naona mtu kahamaki anashusha kashfa nzito nzito

Naona kama mtu haitaki au haiungi mkono party bora apite kimya kimya tu kuliko kukashifu watu ukhuty
 
JF-get together party.
Hivi jf ni dar tu?
Hivi jf ni watu 70 tu?

Hivi kama na me ntaorganize party ya hivyo huku bariadi nitaweza kuiita hivyo hivyo?

Me nadhani jina limekua pana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…