Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntakusubiri ujueMi najua mbali akhera tu..takupitia usijali [emoji106]
Kama ambavyo wengi tunaingia huku kutoa stress kuna watu wanaingia huku kutoa frustrations zao za kimaisha kwa kutaka kuwakera wengine. Halafu anajiita mama wa MTU. Shame .Humkumbuki huyo Sesten?
Juzi aliniparamia sehemu hadi nikabaki mdomo wazi. Itakuwa ndio raha yake hiyo.
Naona mtu kahamaki anashusha kashfa nzito nzito
Naona kama mtu haitaki au haiungi mkono party bora apite kimya kimya tu kuliko kukashifu watu ukhuty
[emoji23][emoji23][emoji23] Miranda nyeusi huwa unadeal nazo tangu lini lakiniiiiKama huji acha payo. Andaa party yako ya married wives party watakuja acha kushoboka na party walizoandaa wengine.
Mashangingi oyee
Umedakwaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mungu wangu!
[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
100% 100%Ntakusubiri ujue
JF-get together party.Habari wana Jf kwa ujumla, nadhani mko salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu.
Kama ilivyokawaida ya wanajumuiya iishiyo pamoja kunakuwa na mambo ya kukutana, kufahamiana na kufanya ki-tafrija kidogo.
Hivyo basi kama ilivyo kawaida ya wana Jf, tumeamua kukutana, kupiga story mbili tatu, kula, kunywa na kucheza pamoja kama wadau walivyotaka. Maana wameona kimya na party hakuna tena kama ilivyo desturi ya hapa Jf.
Hivyo basi, kutakuwa na JAMII FORUMS GET TOGETHER PARTY hapo mwezi wa kumi na mbili (December).
Na vile vile tumependekeza mambo yafuatayo katika kuelekea siku hiyo ya party yetu.
Mambo yenyewe ni kama ifuatavyo:
1. Eneo la kukutania kwa ajili ya party ni pale AFRICAN HOUSE LOUNGE iliyopo pale block 41 Kinondoni karibu na Best Bite Namanga.
Hapa tutachagua kama tutakaa sehemu ya garden au ndani ya kiukumbi amazing.
2. Mchango ambao tumependekeza ni Tsh 30,000/= ambao utajumuisha vinywaji, ukumbi na chakula.
3. Michango kwa ajili ya party hiyo itumwe kwenye namba ifuatayo;
Tigo pesa.
0716-394882 jina May Fidellis.
Ukishatuma mchango wako, njoo pm kwa Mzigua90 au kwa Madame B ukiwa na screenshot ya message ya pesa uliyotuma ili upate namba ya uthibitisho wa kuingilia ukumbini siku hiyo.
●Pili, Pia unaweza kunitext kwa message ya kawaida kwenda kwenye namba hiyo hapo juu ili uweze kuniambia jina lako ulilotuma pesa na ID yako unayotumia.
●Tatu, pia unaweza kutumia njia ya tatu ya kutuma pesa kwa ambao hawatapenda wajulikane ID zao.
Fanya hivi:
Tuma pesa kwa namba hiyo, ukishamaliza kutuma, njoo kwa text ya kawaida useme kuwa umetuma pesa na limetokea jina flani halisi au la wakala uliyetumia kutuma pesa na wala haina haja ya kutaja ID
Tukihakikisha ni kweli unawekwa kwa list.
Maana si wote watapenda tufahamu ID zao halisi hapa Jf.
4. Dress code ya siku hiyo ni:
WANAUME/WANAWAKE
●Tshirt/shati nyeupe au nyeusi.
●Jeans suruali ya bluu/nyeusi
●Jeans kaptura ya bluu/nyeusi
Pia kwa wadada wasioweza kuvaa suruali au kaptura wavae black dress (dress to impress)
Tupendeze jamani....
Party ya kwetu hii....
5. Tarehe ya party ni tarehe 15/12/2018 siku ya Jumamosi kuanzia saa kumi kamili jioni mpaka usiku sana.
6. Unaweza kuanza kutuma mchango wako kuanzia sasa hivi.
Na mwisho wa kupokea mchango wako ni tarehe 08/12/2018 saa kumi na mbili jioni.
7. Majina ya waliochangia party yatawekwa hapa jukwaani katika updates zetu.
Kwa ambao hamtapenda kuwekwa majina yenu hadharani,hatutayaweka.
Natumaini wote tutakuwa tumeelewana kuhusu ujio wa hii party yetu ya JF.
Tunaomba tuhudhurie kwa wingi ili tuweze kufahamiana na kupiga story mbili tatu.
NB:
Ukumbi unachukua watu 70 tu.
Hivo kuwahi kwako kutoa... ndipo urahisi wako wa kupata nafasi ya kuhudhuria party hii kabambeeeee!!!!
KARIBUNI.....KARIBUNI!!!!View attachment 866458View attachment 866453View attachment 866454View attachment 866457
UPDATES YA WALIOTOA:
Mzigua90
amu
Madame B
RRONDO
Watu kama hao hawatusumbui mama. Si unajua lazima watokee wawili watatu waongew pumba roho ziwasuuzike
Wacha niendelee kutafuta kivazi matata kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23]100% 100%
Njoo pmNikutumie nini?
"Za sahizi? mbona watu wengi sana ile ya .......haifanyi kazi nini".na stail ya nywele kama mkorea.Mmmmmh.
Atachafuka tu roho yakeAnataka kuchafua hali ya hewa tu huyo
OkNjoo pm
Karibu mkuuOK, Asante kwa taarifa!
Tena aibu kubwa mno Wa Nyumbani.Kama ambavyo wengi tunaingia huku kutoa stress kuna watu wanaingia huku kutoa frustrations zao za kimaisha kwa kutaka kuwakera wengine. Halafu anajiita mama wa MTU. Shame .
Mmmmmh ...mbona nasikia harufu ya simu myaaaNaomba nitumie tena my dear. Tatizo muandaaji ana kimeo sometimes kinazingua
Hahahahaahhaah watuuuuuuu!!!!!Umedakwaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baada ya kumjibu ndo nikaona ujinga wangu kujibu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hukuwa na haja ya kumjibu,kuna watu wana stress mjini hapa
Tupangeni siku tukutane hapo tukaimbe karaokeAndaeni jamani Tripple 7 kiwanja cha nyumbani[emoji1]