Nipo tayari kupandA nawwDaladala zipo za kutosha πππ
[emoji23] [emoji23]kuna wanawake mashankupe humu.
mimi kama mama nilieolewa kwa ndoa halali SIWEZI kufanya ujinga kwenda kwenye party ya kipumbavu kama hii iliopangwa na mashangingi na kushabikiwa na mashangingi.
Pole best naona umekuwa kama umepita kwenye pori la nyuki huku ukiwa unanukia uturi.Umeonaeeee.
πππ, unalindwa wee mtoto!Hahahaaa. Nilimuonea huruma maana najua kama Numbisa angekuja pasingetosha kwa kweli.
Maana Angeipata pata
kuna wanawake mashankupe humu.
mimi kama mama nilieolewa kwa ndoa halali SIWEZI kufanya ujinga kwenda kwenye party ya kipumbavu kama hii iliopangwa na mashangingi na kushabikiwa na mashangingi.
ONYO
Ma Ben 10 hawatakiwi.
Aaaah,hatimye Tai katua....Pooovu daah una shida akilini mwako poleView attachment 866974
Kama huji acha payo. Andaa party yako ya married wives party watakuja acha kushoboka na party walizoandaa wengine.
Mashangingi oyee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa. Nilimuonea huruma maana najua kama Numbisa angekuja pasingetosha kwa kweli.
Maana Angeipata pata
Kumbe unakumbuka mwaya.
Hata namie najikuta naamini hivyo ni Me huyu.
Ila kazi anayo maana kuwa na id mpya isiyo na adabu kina sie tunamuona kama punguwani.
Kuna watu wanaona kuwa wake za watu ndo ticket ya kuingia mbinguni
Hata simjuagi jina yule Dj. Si yule kibonge mfupi mweusi?Mimi kuimba sitaki kabisa.
Yule Dj wa club nimemsahau jina bado yupo?
Nakuomba pm
Mtundu sana weye
Sio wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23]We dada tumekukosea nn lakini