Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mmh. Ndugu yangu akisafiri kwanza hata kuchangia huwa nachangia kwa machale ili tu nisije nikachokozwa maana hakutabiriki huku. ππππujifunzage ngumi na wewe khaa numbisa akisafir je pooooh
Ila mdogo wangu kwani huna nguvu? πππππninong'oneze naskiza.