JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

[emoji33][emoji33]tangu jana nawaambia watu kuwa nutakuwepo kwaajili yako kumbe wewe hauji?

Ndio basi tena
Hahahaaa. Njoo tu best.

Huwa kuna maneno yanatumika sana hasa kule nyumbani kwetu Tanga kwamba "Msambaa mmoja havunji soko" hivyo uje tu bana sababu Party itakuwepo na kama ulivyoona watu kibao watawakilisha.
 
Haitawezekana tena maana nipo Arusha,,, kama utakuwepo kwenye party nitajua jinsi ya kumdanganya mama watoto wangu
Hahahaaa. Njoo tu best.

Huwa kuna maneno yanatumika sana hasa kule nyumbani kwetu Tanga kwamba "Msambaa mmoja havunji soko" hivyo uje tu bana sababu Party itakuwepo na kama ulivyoona watu kibao watawakilisha.
 
Nimeishanunua kabisa shati langu jeupe na sasa hivi naahangaikia jeans ya maana kidogo.

Nipo mtaa wa Kongo nimalize kabisa shopping..
1537010582065.png
 
Back
Top Bottom