JF-get together party Disemba 2018

ujifunzage ngumi na wewe khaa numbisa akisafir je pooooh
Mmh. Ndugu yangu akisafiri kwanza hata kuchangia huwa nachangia kwa machale ili tu nisije nikachokozwa maana hakutabiriki huku. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila mdogo wangu kwani huna nguvu? πŸ‘‚πŸ‘‚πŸ‘‚πŸ‘‚πŸ‘‚ninong'oneze naskiza.
 
Hivi utakuwepo Best?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Khe!!
Mbona vita sasa?
Alikulia chako nini.....
Itabido siku hiyo kazi ya ulinzi nimpe Mwarabu the fighter.
Maana naona watu mnataka kulipiziana visasi.

Nah, sijawahi kuliwa changu na yeyote.

Ila ni lazima tushikishane adabu huko uraiani.

Sina hakika kama Mwarabu fighter atatosha.

Labda muweke na polisi wenye silaha za moto kabisa.
 
Natamani niwepo ila muda huo nitakuwa Niko hoi ..…... Nahesabu siku za kuingia leba

Mimi Niko huku chilondolo nafagilia mikorosho utanitupia updates za kutosha πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜Ž
Oooh Basi Fanya tutengeneze tugeza pati ya wawili tu. Tuifanyie hata kawe bichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…