asante kaka tunasubiri.Nitawachangia Watanga wenzangu
Mzigua 900
Ukhty
Hajar
Shunie
Hahahaaaa. Jamaani.Haitawezekana tena maana nipo Arusha,,, kama utakuwepo kwenye party nitajua jinsi ya kumdanganya mama watoto wangu
Hapa napita kama sioni vile !Nguo nimekutumia wasap from jaim store.
Kiatu si nimeshakwambia 25,000/= babe?
Wazee MNA matatizo sana. Hivi ushawahi mpiga mwanamke?Nah, sijawahi kuliwa changu na yeyote.
Ila ni lazima tushikishane adabu huko uraiani.
Sina hakika kama Mwarabu fighter atatosha.
Labda muweke na polisi wenye silaha za moto kabisa.
Hahahaaaa. Nacheka rafiki. 😂😂😂😂😂😂😂😂 kama mjinga hapa.Pooovu daah una shida akilini mwako poleView attachment 866974
Hahahaaaa. Jamaani.
Ndio hivyo mie sitakuwepo nitasubiri mrejesho kwa watakaokwenda kufaidi hiyo Party.
Shukrani Sesten 🙏🙏🙏🙏Majeshi ya kila aina tena yenye nguvu, yanayotajwa yakatajika... hadi raha
Hongera mamii
Karibu HajarShukrani Sesten 🙏🙏🙏🙏
Wengine wanawake tunaswali ndani...!!!!Muda wa msikitini huu guyz kwa wale waislamu twendeni tukasali jamani tumkumbuke na Mungu maana bila yeye tunaweza tusifike Desemba hiyo
Hatukilimaliza hili best[emoji134]Hahahaaaa. Jamaani.
Ndio hivyo mie sitakuwepo nitasubiri mrejesho kwa watakaokwenda kufaidi hiyo Party.
Wakiona watakujibu bro !Kwani we si ke mkuu?
Usitoe ushaur peleka angazaaDont say I didnt warn you. Unamkabidhi vipi pesa mtu ambaye hujawahi muona na kwenye mitandao anatumia ID fake? Bora hata angekuwa mwanaume. Hawa wanawake tunaokutana nao bara barani, unamtumia elfu kumi na tano ya nauli aje kwenye tukio anakutapeli, hela harudishi na anatoa udhuru kibao, then hao hao leo ndio unakabidi 2,100,000 cash mkononi? Unategemea muujiza gani hapo zaidi ya kuwa dissapointed?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha usaniiiHahahaha! Natokea Tz hii hii
Nusu siku kufika Bukoba, siku 2 kutoka Bkb to Dar.
Piga kwenda na kurudi utapata siku ngapi.
Oyeeeeeee[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]Kama huji acha payo. Andaa party yako ya married wives party watakuja acha kushoboka na party walizoandaa wengine.
Mashangingi oyee
Nimekusoma mkuu[emoji3][emoji120]Wakiona watakujibu bro !