Ahaaaaahaaaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kudaaaadaaaadeeeki[emoji126] [emoji126] [emoji126]Hehehehe mbona wacheka witness..
Unakicheka kicarina namba A pamoja na kupiga box miaka nenda rudi..
Unajua baraka huwa zinatoka kwa wazazi, sasa unashindwa hata kumfungia flat screen mama yako mzazi unaacha sebule sofa zimechanika chanika na TV ya mwaka 47
T 2__ AWK teh teh tehAhaaaaahaaaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kudaaaadaaaadeeeki[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Tupia picha Carina namba A hebu nione??
Uliona lile vazi alilovaa Nick Minaj juzi MTV VMA?Mimi najiona kwenye dress nyeusi ....huko nakuachia wewe.
Duuh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]T 2__ AWK teh teh teh
We nenda pale mbezi shule vizia vizia nyumba yenye kigeti kibovu bovu utaiona hiyo gari..
Hapana mfungo mpaka Kwaresma ila MAAJILIO ni Maandalizi kuelekea NoelKwani utafunga majilio mkuu?
Aajaaajaaaah mkuu unatafuta balaa sasa una bahati mbebez wangu sio mtu wa kushinda humu yy kazi tu angeona hapa ungeviziwa kwenye party upigwe chupa[emoji30] Jason Statham 2Nimeshaweka booking kwa WitnessJ sasa mtu ajishobokeshe tu
Hapa kama najiona viile nimeandaliwa hizo dress codeUliona lile vazi alilovaa Nick Minaj juzi VMA?
Ndo ntaibuka nalo kwenye hii party though utofauti itakuwa colour tu
My Hubby yy nshamuandalia T-shirt black matata na of course black jeans na raba kali full kutokelezea ( si unajua navyopenda black colour?)
Sijajua wewe sasa dress or jeans pal?
Ni kipindi ndani ya kanisa katoliki ambapo watu wanajiandaa kwa sala kuelekea sikukuu ya Noel mwez 12. Hapa Siruhusiwi kufanya sherehe yyte mpka ipite Noel.Majilio ndio nini ? Yaani maana yake nini ?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hatari sana aiseeeAajaaajaaaah mkuu unatafuta balaa sasa una bahati mbembez wangu sio mtu wa kushinda humu yy kazi tu angeona hapa ungeviziwa kwenye party upigwe chupa[emoji30] Jason Statham 2 hebu kuja pande hii umezidi ubusy na wewe!
Bado umekosa hadi mda huu? Nikutafutie best?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hatari sana aiseee
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshaweka booking kwa WitnessJ sasa mtu ajishobokeshe tu
Fanya mchakato huo aiseee maana najiona kama vile nitakuww mpweke sana hasa muda wa kucheza bluesBado umekosa hadi mda huu? Nikutafutie best?
@cute bUliona lile vazi alilovaa Nick Minaj juzi VMA?
Ndo ntaibuka nalo kwenye hii party though utofauti itakuwa colour tu
My Hubby yy nshamuandalia T-shirt black matata na of course black jeans na raba kali full kutokelezea ( si unajua navyopenda black colour?)
Sijajua wewe sasa dress or jeans pal?
Mmmh we jamaa storeee nyingi mchango hutumi mda wote huo!Naona party iko sponsored hii kweli ita damshi ngoja nitume mchango wangu soon... Hakuna haja ya kutuma na ya kutolea eeeee
Nipe dk 20Fanya mchakato huo aiseee maana najiona kama vile nitakuww mpweke sana hasa muda wa kucheza blues
Soon utaniona tatizo natafuta na mtu wa kumlipiaMmmh we jamaa storeee nyingi mchango hutumi mda wote huo!
Sikuoni kwenye list[emoji23] [emoji23] [emoji23]