JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Uliona lile vazi alilovaa Nick Minaj juzi VMA?

Ndo ntaibuka nalo kwenye hii party though utofauti itakuwa colour tu

My Hubby yy nshamuandalia T-shirt black matata na of course black jeans na raba kali full kutokelezea ( si unajua navyopenda black colour?)

Sijajua wewe sasa dress or jeans pal?
Mama huu mpanio si wa nchi hii!!

Unanifanya nikaaangalie haka kagauni kangu kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona wako wengi humu wanaotafutwa kulipiwa[emoji15] [emoji15]

Raynavero kichwa hiki hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ( ntachambwa mimi ndukiii [emoji125] [emoji125])
Mimi tenaa mpk muda huu nisingempata nisingeenda kwenye party yenyewe[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nasubiria tu pesa ya viwaloo!!
 
Back
Top Bottom