JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Hehehehe mbona wacheka witness..

Unakicheka kicarina namba A pamoja na kupiga box miaka nenda rudi..

Unajua baraka huwa zinatoka kwa wazazi, sasa unashindwa hata kumfungia flat screen mama yako mzazi unaacha sebule sofa zimechanika chanika na TV ya mwaka 47
Ahaaaaahaaaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kudaaaadaaaadeeeki[emoji126] [emoji126] [emoji126]

Tupia picha Carina namba A hebu nione??
 
Mimi najiona kwenye dress nyeusi ....huko nakuachia wewe.
Uliona lile vazi alilovaa Nick Minaj juzi MTV VMA?

Ndo ntaibuka nalo kwenye hii party though utofauti itakuwa colour tu

My Hubby yy nshamuandalia T-shirt black matata na of course black jeans na raba kali full kutokelezea ( si unajua navyopenda black colour?)

Sijajua wewe sasa dress or jeans pal?
 
Uliona lile vazi alilovaa Nick Minaj juzi VMA?

Ndo ntaibuka nalo kwenye hii party though utofauti itakuwa colour tu

My Hubby yy nshamuandalia T-shirt black matata na of course black jeans na raba kali full kutokelezea ( si unajua navyopenda black colour?)

Sijajua wewe sasa dress or jeans pal?
Hapa kama najiona viile nimeandaliwa hizo dress code
 
Back
Top Bottom