JF-get together party Disemba 2018

Mamaaaa wasojulikana kazini!
Hapa wote tunatumia fake ID!
Afu tukutane kufanya nn?
Sina uhakika kama wote mtarudi makwenu!
Kuna waroho wa mademu
Kuna wadangaji
Kuna wasojulikana!
Sie wa mikoani tutasubiri comments zenu
 
Mamaaaa wasojulikana kazini!
Hapa wote tunatumia fake ID!
Afu tukutane kufanya nn?
Sina uhakika kama wote mtarudi makwenu!
Kuna waroho wa mademu
Kuna wadangaji
Kuna wasojulikana!
Sie wa mikoani tutasubiri comments zenu
Sasa huwa sielewi mtu kama wewe[emoji15] We huendi right?

Tunaokwenda ni sisi tunaodanga, na tusiojulikana wewe kinachokuuma ni nini?

Piga kimya subiri hizo ndoto zako za mchana so called comments zetu[emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
Sasa huwa sielewi mtu kama wewe[emoji15] We huendi right?

Tunaokwenda ni sisi tunaodanga, na tusiojulikana wewe kinachokuuma ni nini?

Piga kimya subiri hizo ndoto zako za mchana so called comments zetu[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Soma vizuri comment yangu sijasema msiende wala sijasema inaniuma na wala sijakutaja wewe kama mdangaji au usojulikana ila we ndo umejiita mdangaji basi nenda kadangike
 
Oooh kwahiyo umempata?..

Llio 002 anasaka mtu kuna shost hajapata huko?
Muda sana hata kabla ya confirmation mtoto mzuri kama Mimi nakosaje kulipiwa sasa..kwa mfano[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ....!!!mashosti zangu kama wote tayari washalipiwaa....mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Nilitaka kushangaa mtoto mkali kama ww uhenyeshe na 30 elfu[emoji23] [emoji23]


Ila mbona sioni jina kwenye list??[emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…