JF-get together party Disemba 2018

Nilitaka kushangaa mtoto mkali kama ww uhenyeshe na 30 elfu[emoji23] [emoji23]


Ila mbona sioni jina kwenye list??[emoji15] [emoji15]
Hutaona na hata mzigua hatajua kama nimetoa ila ntakuwepo 100%...baba watoto atanisamehe tu...nshamletea kadi feki ya kitchen party[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
I can imagine kuna mtu atataka kuzamia, mwingine atakaa kwa mbali awaone tu watu wa JF wanafananaje akihisi wanatoka Peoples Republic of Mars. Mwingine atapiga picha nyingi sana ktk simu na ataanza zitembeza PM mpka zitafika ktk nyuzi. Yaani Ktk kila watanzania 4 tegemea mmoja ni Chuma cha reli. Hahaaaa
 
Uzuri ni kwamba atetembeza picha bila kujua ni nani. Kuna siku kuna Uzi picha yangu iliwekwa humu bila aliepost kujua kama ni ya nani. Kaikuta alipoitoa akaipost huku. Sasa hayo ndo yatatokea after makutano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…