Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Ntajitahidi nihudhurie ili mradi tu nikuone mrembo afu ndo nitautuliza huo ulouita mshonoSawa...tulisha mshono sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntajitahidi nihudhurie ili mradi tu nikuone mrembo afu ndo nitautuliza huo ulouita mshonoSawa...tulisha mshono sasa
Mijitu mingine ujuaji ptuu[emoji15].....kama mtu huna 30 elfu na mtokolezeo kalisha kimisi tu usubiri kuhadithiwa!Nakaziaa!!!
Kwahiyo we mtoto??[emoji15] [emoji15]Kwahyo jf watoto hawaruhusiwi, tuacheni ubaguzi huu haufai, mtu yeyote asijione zaidi ya mtu mwingine
Hutaona na hata mzigua hatajua kama nimetoa ila ntakuwepo 100%...baba watoto atanisamehe tu...nshamletea kadi feki ya kitchen party[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nilitaka kushangaa mtoto mkali kama ww uhenyeshe na 30 elfu[emoji23] [emoji23]
Ila mbona sioni jina kwenye list??[emoji15] [emoji15]
AseeeeHutaona na hata mzigua hatajua kama nimetoa ila ntakuwepo 100%...baba watoto atanisamehe tu...nshamletea kadi feki ya kitchen party[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbeee jee!!!!!nataka niwe nisiejulikanaa!!Aseeee
Haahaaa sawa mama[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbeee jee!!!!!nataka niwe nisiejulikanaa!!
NdioKwahiyo we mtoto??[emoji15] [emoji15]
Eehh!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Haahaaa sawa mama
Nakuona mamaa [emoji23][emoji23]Mijitu mingine ujuaji ptuu[emoji15].....kama mtu huna 30 elfu na mtokolezeo kalisha kimisi tu usubiri kuhadithiwa!
[emoji23] [emoji23]Nakuona mamaa [emoji23][emoji23]
Nitacover kitakachopungua[emoji1][emoji23] [emoji23]
Sasa nguvu za kutufikisha wote unazo lakini?Oh yeeeah!
Ile room ina face bahari....ilikuwa raha sana na sasa hiyo raha itaongezeka maradufu!
Sauti ya yale mawimbi ya bahari acha kabisa.....
Shukrani bro kwa maelezo mazuri.Ni kipindi ndani ya kanisa katoliki ambapo watu wanajiandaa kwa sala kuelekea sikukuu ya Noel mwez 12. Hapa Siruhusiwi kufanya sherehe yyte mpka ipite Noel.
NB: Ni imani yangu lakini.
Maana yake umefanya hesabu ya kuzidisha30,000 only times 70=2,100,000
Hii maana yake nn?
Uzuri ni kwamba atetembeza picha bila kujua ni nani. Kuna siku kuna Uzi picha yangu iliwekwa humu bila aliepost kujua kama ni ya nani. Kaikuta alipoitoa akaipost huku. Sasa hayo ndo yatatokea after makutanoI can imagine kuna mtu atataka kuzamia, mwingine atakaa kwa mbali awaone tu watu wa JF wanafananaje akihisi wanatoka Peoples Republic of Mars. Mwingine atapiga picha nyingi sana ktk simu na ataanza zitembeza PM mpka zitafika ktk nyuzi. Yaani Ktk kila watanzania 4 tegemea mmoja ni Chuma cha reli. Hahaaaa