Hahahahhahaha.Ntajikokota mwenyewe naamini kuna watakao kimbiana tu ntakwepi kwa ajili yao.
Tanteee, sasa Wasambaa wakiniletea za kuleta nawapiga na kamsemo ka kihenga hako kwanzaπππππ nishakuazima wewe tu Seten.
πππ sawa Sesten.Tanteee, sasa Wasambaa wakiniletea za kuleta nawapiga na kamsemo ka kihenga hako kwanzaπππ
Si wajua tena Wasambaa kama walivo Wasukuma ni watani wa watu wengiπππ sawa Sesten.
Usinicheke nilichukia mana nilienda saa tano kasolo nikashangaa watu wesha tawanyika nilichokaaHahahahhahaha.
Hahahaha halafu wewe SAA tano ndiyo pamekucha. NakumbukaUsinicheke nilichukia mana nilienda saa tano kasolo nikashangaa watu wesha tawanyika nilichokaa
Hii nayo imesemwa hadi usiku sana isjeishia saa tano tu
MmhhHahahaha halafu wewe SAA tano ndiyo pamekucha. Nakumbuka
Hahahaaa. Njoo tu best.
Huwa kuna maneno yanatumika sana hasa kule nyumbani kwetu Tanga kwamba "Msambaa mmoja havunji soko" hivyo uje tu bana sababu Party itakuwepo na kama ulivyoona watu kibao watawakilisha.
Tanteee, sasa Wasambaa wakiniletea za kuleta nawapiga na kamsemo ka kihenga hako kwanzaπππ
Yupiii?Hata yulee[emoji23] [emoji23]
Shunie kumbe na weye pia ni waja leo warudi leo?ππππKwa niaba ya wasambaa tunaomba msamaha
Hakyanani we shunie! [emoji16][emoji16]
Mbona unagunaa?Mmhh
Hahaha, unasubiri 'loose balls'!!Ntajikokota mwenyewe naamini kuna watakao kimbiana tu ntakwepi kwa ajili yao.