Oyeee Dada.Kho kho kho
Wasambaa oyeeee
Kukumiss yaaniMbona unagunaa?
Karibu nyumbani uje ucheze na uncle zako. Na kunisalimia piaKukumiss yaani
Sasa nitese tu..Karibu nyumbani uje ucheze na uncle zako. Na kunisalimia pia
Aliekuteka Mungu anamuona,nimepigwa hadi block!Nimekumiss ba mkwe unilipie twende wote aliyekuteka akuachie basi
Aliekuteka Mungu anamuona,nimepigwa hadi block!
Oyeee Dada.
Vp ushaandaa mtoko wa siku hiyo?
notedHapo kwny masharti ya mavazi patawashinda watu wengi sn.
Baada ya kuona hizo picha nadhani maudhui ya hii party yameelekea pengine.
Kuna watu wamezoea kuvaa kwa kujisiritiri ukishambadilishia mavazi aliyozoea ni shida
Hakyanani we shunie! [emoji16][emoji16]
Poa mkuuJamani sijakupiga block si unajua niliifuta ebu nitext sikuoni
Shunie kumbe na weye pia ni waja leo warudi leo?ππππ
Haya taja na wenzako sasa niwaorodheshe kwenye buku langu ili kwenye Party angalau mtambike kwa mdumange kidogoππ
hahaaaHawa wanaitwa wapambe (hawalipi kiingilio)
@wick ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dada kuna mfadhili amejitolea kunigharamia kila kitu cha siku hiyo ndio namsubiri siku ifike @fakalava