JF-get together party Disemba 2018

Madame achana na ngabu hujamjuaga kua ana kichaa chake huyu msukuma?

Party itafanyika salama mwaya tena na atanilipia ngoja nimshike shati
 
Madame achana na ngabu hujamjuaga kua ana kichaa chake huyu msukuma?

Party itafanyika salama mwaya tena na atanilipia ngoja nimshike shati
Akulipie salama.
Ila jua humu kuna new members, guests kibao, old members pia....unadhani wote watajua kama anafanya ukichaa wake.
Okay
Leta usije kosa kiti
 
Akulipie salama.
Ila jua humu kuna new members, guests kibao, old members pia....unadhani wote watajua kama anafanya ukichaa wake.
Okay
Leta usije kosa kiti
Huyu dawa yake siku hiyo tunamchangia mi nang'ata macho we unamshindilia mangumi kifuani Mzigua90 anapiga pale katikati na wengine kuliko baki
 
Naona wafitini mnaanza kupangua na kupanga vichwani mwenu.
Party natamani ifike.
Wale wanaoiombea mabaya wadhalilike.
Na wale jukwaani mikwara kumbe moyoni wanaogopa naomba waumbuke pia.

MUNGU TUSAIDIE JAMANI
DUNIA INA MENGI....YA NDANI NA YA NJE.
MEMBERS KARIBUNI SANA.
TUNAWAPENDA SANA.
By waandaaji;
Mzigua90 & Madame B featuring Jamii Media.
Thanks.
 
Hahahahahhahah
Mkwara mmoja.
Unatafuta wa kukava.

Hhahahhahah
Jf raha sana.
Anya way....
Kama ndio uliogopa kilichosemwa, unaniangusha sana.
Sawa. Nilichokwambia ni kuondoa jina langu pale juu(though nilikwambia uliweke kwania nzuri tu.
Ila haina uhusiano na kutokuja kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…